Lyrics

Safari ya imani, nakutazama yesu Nataka nifike ng'ambo salama Lakini njiani mawimbi ni mengi Mashaka yanisonga kuniangamiza Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame Mawimbi ni mengi, niokoe Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame Mawimbi ni mengi, niokoe Mawimbi ni makali nahitaji msaada Nishike Mwokozi niwe salama Wewe ulieniita nakuja kwa neno lako Napata kutembea kwa neno lako Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame Mawimbi ni mengi, niokoe Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame Mawimbi ni mengi, niokoe Safari ya imani, natembea kwa imani Zambi isinishinde, nisaidie Katika majaribu makali kama moto Najua nitatoka kama dhahabu Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame Mawimbi ni mengi, niokoe Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame Mawimbi ni mengi, niokoe Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame Mawimbi ni mengi, niokoe Nishike mkono nisizame Mawimbi ni mengi, niokoe Nishike mkono nisizame Mawimbi ni mengi, niokoe Nishike mkono nisizame Mawimbi ni mengi, niokoe
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out