Listen to Bongo Bahati Mbaya by Young Dee

Bongo Bahati Mbaya

Young Dee

Hip-Hop/Rap

5,900 Shazams

Lyrics

It's another one (it's another one) woo! Yah, Touch (Touch) Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Maisha ndo' haya haya, sa' nitaenda wapi? Bongo bahati mbaya Hollywood yetu Masaki Usishangae natamba a'fu wewe hauna chambi Mi' mwembamba ila napiga show za kitambi Bongo bahati mbaya Bongo bahati mbaya Bongo bahati mbaya Karibu ulaya Bongo bahati mbaya Bongo bahati mbaya Bongo babati mbaya Karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya (yeah) Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya (yeah) Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Wanaogopa kusema hii kama mbele Ila hapa ndo nyumbani napiga misele Wanaogopa kusepa hapa haina kwere Ila hapa ndo nyumbani siogopi maseke A'fu mi' Mnyamwezi uliopoteza passpoti Niko bongo bahati mbaya tu Unyamwezi sio wa kufosi Ukiniona kama tozi, niunguse nije na kikosi (bra) Nimepiga pamba a'fu sio za kukodi (oyi) Bongo bahati mbaya Bongo bahati mbaya Bongo bahati mbaya Karibu ulaya Bongo bahati mbaya Bongo bahati mbaya Bongo babati mbaya Karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya (yeah) Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya (yeah) Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Haijalishi niko wapi, lazima niko happy Hata nikiwa tu mwenyewe au niko na washikaji Haijalishi niko wapi, lazima niwe msafi Niko bongo bahati mbaya, ila ndo 'ivo ntakwenda wapi Haijalishi niko wapi, lazima niko happy Hata nikiwa tu mwenyewe au niko na washikaji Haijalishi niko wapi, lazima niwe msafi Niko bongo bahati mbaya, ila ndo 'ivo ntakwenda wapi Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya (yeah) Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya (yeah) Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya Tupo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya (oya, producer mi ntikati, eh) We ndio producer wangu mkali, eh? He-eh, hivi we ni producer au jini? Ahaha! Whoa, bongo bahati mbaya (Touch Sound, Touch Sound, Touch Sound)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out