Music Video

Lady JayDee - I Miss You (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jaydee
Jaydee
Performer
COMPOSITION & LYRICS
E. R. Albers
E. R. Albers
Composer
S.j. van Weert
S.j. van Weert
Composer
F.H.T. Jakobs
F.H.T. Jakobs
Composer

Lyrics

Aaah aaah we acha tu I miss you Nimekaa nakufikiria hapa nakuwaza kila saa Tears on my pillow nakuwaza days and nights Nimechoka nipo njiani inabidi uwe jirani unipe furaha Yeaaah Hakuna wakunipa unichonipa na Wala kuniita unanyoniita Hakuna wakunifanya nihisi ninavyohisi nikiwa nawe kwako nimefika Nataka uwe na me kila siku Uwe na me niwe nawe iwe mchana na usiku Aaaah Uwe jirani uwe na me ndan urudi nyumbani Nikiwa na we kwangu ni kila kitu nainabidi uwe hapa Bila shaka Muda hauendi nataman urudi sasa Hata mungu hapendi nagubikwa na mashaka niondoe wasiwasi naomba urudi fasta Ujue upweke na hofu ni juu yako Nimekumis nataka nijue japo Upendo wako unanifanyia niwe juu Na Kama utachelewa nataka kutua hapo Aaah aaah we acha tu I miss you Nimekaa nakufikiria hapa nakuwaza kila saa Tears on my pillow nakuwaza days and nights Nimechoka nipo njiani inabidi uwe jirani unipe furaha Kutoka siku ya Kwanza nilijua kwamba uuuuhhhh Itakua ngumu Sana na nikawaza uuuuh Where you are you are far away come back home It's not the same without you baby come back home I need yoooouuuu here with me come back home Tears on my pillow eeeeh eeeh Narudi nijifajiri kuona karibu utarudi nyumbani haielezeki ooohhh I miss yooouu Aaah aaah we acha tu I miss you Nimekaa nakufikiria hapa nakuwaza kila saa Tears on my pillow nakuwaza days and nights Nimechoka nipo njiani inabidi uwe jirani unipe furaha Kila siku nafungua pazia asubuhi naangalia nje njiani Nikidhani pengine siku utarudi ili Tena niwe furani Natafuta nyayo zako Narudi nijifajiri kuona karibu utarudi nyumbani haielezeki ooohhh I miss yooouu Aaah aaah we acha tu I miss you Nimekaa nakufikiria hapa nakuwaza kila saa Tears on my pillow nakuwaza days and nights Nimechoka nipo njiani inabidi uwe jirani unipe furaha Tears on my pillow Nimechoka Niko njiani mpeenzzii
Writer(s): Travis Barker, Mark Hoppus, Tom De Longe Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out