Lyrics

Naskia kuzito Naskia kuzitoka Juu ya kule nimeto Juu ya kule nimetoka Wacha ni-do Wacha ni-do kama Daudi Wacha ni-do Wacha ni-do kama Daudi Wacha nizitoke Nizitoke Wacha nizitoke Nizitoke Wacha nizitoke Nizitoke Wacha nizitoke Nizitoke Naskia niko high, si ndogogio Ni vile nimetoka far, Morio Amenipata kwa mtaa kwa ma ngori io Sa maisha tam, tam kama Oreo Wacha nizitoke nizitoke Alinipata pale chini kwa matope ie Wacha nizitoke nizitoke Mi na ye ka Mkisii na matoke ie Sa mikono juu ka za Pastor Na Shetani ako chini kama duster Tingiza mguu ka haina plaster Tuzitoke twende faster Naskia kuzito Naskia kuzitoka Juu ya kule nimeto Juu ya kule nimetoka Wacha ni-do Wacha ni-do kama Daudi Wacha ni-do Wacha ni-do kama Daudi Wacha nizitoke Nizitoke Wacha nizitoke Nizitoke Wacha nizitoke Nizitoke Wacha nizitoke Nizitoke Amefuta chovya hakuna kurira Chini ya Mwamba, Mwamba ndiyo naturira No games hapa; Hii si mupira Kanifunza mengi mengi hadi subira Wengi wazitoka wakiona Chief ama Rais ako area Mi nazitoka juu nashukuru niko hai niko area Basi mikono juu ka za Pastor Na Shetani ako chini kama duster Tingiza mguu ka haina plaster Tuzitoke twende faster Naskia kuzito Naskia kuzitoka Juu ya kule nimeto Juu ya kule nimetoka Wacha ni-do Wacha ni-do kama Daudi Wacha ni-do Wacha ni-do kama Daudi Wacha nizitoke Nizitoke Wacha nizitoke Nizitoke Wacha nizitoke Nizitoke Wacha nizitoke Nizitoke Mmh ah ah ah Nazitoka mmh ah ah ah Mmh ah ah ah Nazitoka mmh ah ah ah Mmh ah ah ah We zitoke mmh ah ah ah Mmh ah ah ah We zitoke mmh Basi, wacha tuzitoke Tuzitoke Basi wacha tuzitoke Tuzitoke Basi wacha tuzitoke Tuzitoke Basi wacha tuzitoke Tuzitoke Naskia kuzito Naskia kuzitoka Juu ya kule nimeto Juu ya kule nimetoka
Writer(s): James Muhia Mukige Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out