Listen to Nilipotoka (feat. Hard Mad) by Fid Q

Nilipotoka (feat. Hard Mad)

Fid Q

Hip-Hop/Rap

Lyrics

Tongwe records for ever Nimbali sana napotokea na nazidi kupotea kwa kusonga mbele Nimbali sana napotokea na nazidi kupotea kwa kusonga mbele Namiliki cheupe mangara japo nina jeusi Dawa agharabu dhiki haitaki tajiri twende sawa Mabangarow na magari kama watoto wa bhakressa Kariakoo kwa muuza duka nathamani zaidi ya pesa Sio muuza sangara mtaani huniita ghetto Professor uliza dandalov nina heshima kama dudu kisesa Bongo mnacheza ninyi ni wabongo na hii mdo yenu Fleva mnanipa kiinua mgongo nawashukuru napata fedha Naweza kumbuka nilichoona nikasahau jina la movie Unaweza shindwa kunisoma sababu tu ya haya maujudhi Kazi yangu mi ni ku-Create hizi words na Punch za mkono wa chuma kama wa Amita au cyborg Nanin'giniza Mcee km chain za gold kwenye Kifua cha pendezee najua unanisoma bwaashee Nina Floo coz kuna F kwenye Fid Ni Mwanza coz kuna M kwny Mcee na who else can be Niite Ngosha the Don na sio James Japo my words are born na'make Dollar in make sense Mafala wana entertain hayo Maswala kudadadeki Nahitaji respect na sio stress kama Keynes Nimbali sana napotokea na nazidi kupotea kwa kusonga mbele Nimbali sana napotokea na nazidi kupotea kwa kusonga mbele Na-Change rock city kuwa Rap city Natabasamu hata kama ninanjaa Niheshimu Kama rhymes ni majungu basi ufalme ni wajamaa Historia hujirudia sio sana kama movie za Chaplin Amani kwa mamcee na Maproducer wazuri wa sampling nipo na customers sihitaji Ku-hustle naenda nao ngazi kwa ngazi leta u-snitch wata ni-blascode Siogopi kukosea ndio maana wananiita Mbunifu nazidi kuendelea napakua heats kila siku Nasema naongea natema vitu vipo deep Mapema Niliacha kugongea na kuona magang sio issue Nachukia kukosea na siwezi kufurahia Kupotea Kimbia napotembea kama unataka kunifikia Na Pia me sina spare kama unavonisikia Najua vile unionavyo sivyo ulivonihisia Sichagui kama mbombo kwa adui naweza Jikomba naikamgusa hata akiweka ukuta ka-Mjomba Mnajiuliza me ni nani nawajibu me ni mtu Flani Msomi kitaani nani anasema call me name Wapinzani siwaoni mliopo gizani njooni kwa Mfalme Mnayoyafanya ndotoni mi nayafanya adharani Nimbali sana napotokea na nazidi kupotea kwa kusonga mbele Nimbali sana napotokea na nazidi kupotea kwa kusonga mbele Nimbali sanaaa napotokeaaa kuna mvua jua kali sanaa maghetto kibao Naomba mjua rock city Hip hop is back and run in the full power
Writer(s): Fareed Kubanda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out