Listen to Kazi Yake Mola (feat. Domo Kaya & Mandojo) by Madee

Kazi Yake Mola (feat. Domo Kaya & Mandojo)

Madee

African

3,464 Shazams

Music Video

Madee - Kazi Yake Mola {Official Music Video}
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Madee
Madee
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamadi Ally Seneda
Hamadi Ally Seneda
Songwriter

Lyrics

Kazi yake mola, haina makosa Kazi yake mola, haina makosa Anafanya atakalo, anafanya awezalo Kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo Kazi yake mola, haina makosa Kazi yake mola, haina makosa Anafanya atakalo, anafanya awezalo Kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo Umekuta dunia imeandaliwa Na we bila hiyana si ukazaliwa Umekuta wasafiri Waliotutoka kwaheri Kimwili hauko nasi Kiroho tupo nawe Upo kwenye kina kati juu mawe Mchana na usiku tunaomba tuwe nawe Haiwezi kuwa sawa Ugonjwa unatibika, mauti hayana dawa Kwa heri Mwanahawa, kizima huaribika Kufa na kupotea Mchana na usiku dua tunakuombea Ulale mahali pema huku unatungojea Njia yetu ni moja ipo siku utatupokea Salamu wasalimie wote utao wakuta Wambie babu tale machozi keshafuta Na keshalala matanga Tangu enzi zile alipoondoka kichanga Kazi yake mola, haina makosa Kazi yake mola, haina makosa Anafanya atakalo, anafanya awezalo Kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo Kazi yake mola, haina makosa Kazi yake mola, haina makosa Anafanya atakalo, anafanya awezalo Kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo Hii ni siri kubwa aloipanga manani Ata Abdu bonge siku yako haijulikani Ata ukiwa na body kama producer majani Lazima uta kwenda vyovyote inalazimu Haina pakujificha siku yako inapotimu Tumuombee mwanahawa yupo kwenye mustahikimu Awe na ufahari mwili ukiwa kuzimu Umemwacha mpweke Ibra Model anakuwaza Kwani kila kukicha ye maswali anauliza Mjomba Iddi eti mama yuko wapi? Inanibidi niongope huku sitaki Naangaza pale mbele mama Chale analia Pembeni namuona Kwembe tall na Ramia Mbele yao ukungu futa machozi mama dulah Yote kazi ya Mungu Jikaze kama mwanzo alivoondoka Ally zungu Kazi yake mola, haina makosa Kazi yake mola, haina makosa Anafanya atakalo, anafanya awezalo Kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo Kazi yake mola, haina makosa Kazi yake mola, haina makosa Anafanya atakalo, anafanya awezalo Kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo Naomba mnisamehe kuomboleza nimechoka Namuona mwarabu sa machoz yana mtoka Siyo kosa lake bali yeye anauchungu Anawaza ndugu zake mwanahawa na Ally zungu Usiwe na wasiwasi wamefika mbele ya haki Kifo ni desturi binadamu hatunyimiki Salamu kwako chuku Endesha kila kitu ndege, gari we utaweza Ila siku ya mwisho tutakubeba kwenye jeneza Na watu msururu Hapa Msolwa, Elly Donoa pembeni mama Lulu Rest in peace, pumzika kwa amani Kazi yake mola, haina makosa Kazi yake mola, haina makosa Anafanya atakalo, anafanya awezalo Kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo Kazi yake mola, haina makosa Kazi yake mola, haina makosa Anafanya atakalo, anafanya awezalo Kwani dunia ni yake na hakuna hashindwalo End
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out