Listen to Kijiwe Nongwa (feat. Nay Wa Mitego) by Rostam

Kijiwe Nongwa (feat. Nay Wa Mitego)

Rostam

Hip-Hop/Rap

20,227 Shazams

Lyrics

Is another one Take five now Alikuja kama masihi tukamchangia sadaka Tukamuona nabii alieshushwa siku ya pasaka Tukamtolea na zaka ili kanisa alijenge Ehee na bado akamlaza muhumini kifo cha mende Hivi unamkumbuka babu Babu wa loliondo Ahaa yule mfugaji mwenye bleach ya kikongo Watu wamekufa watu wamefungwa watu wamepoteza biashara Sawa uchaguzi umekalibia amerudi chama tawala Vipi Dada yetu wa igunga simioni udangaji Ahaa mbona ameshapata mchumba sio vibeniteni wazamani Yule Fundi geleji chawa si kamteka bibie Na wamefungua magahawa yani wote mama ntilie Na kuna demu aliachiwa mtoto na akaolewa na mtoto Akaachana na mtoto na Akabaki anamlea mtoto Izi ndoa za mjini bwana zinasikitisha Ehee zinafungiwa chumbani na zinavunjikia insta Soka la bongo linakwama wapi tff maana take nini Tanzania football felia ndio nacho jua Mimi Unamfukuzaje amunike ili uzaifu wenu muufuge, Wakati mlimpeleka mlevi je akacheze namba ya mkude Sema leo akilali kipolo imeisha kuwa kelo Ukuta tunavunja kwa tindo Wameisha pogwa guu wako dolo na Kiki za kikolo majita tushapiga kishindo Ili ni fagio la chuma linang'oa visiki safisha vichaka kwa moto Simba kageuka duma jangwani aipitiki ukitufata we to a moko Malehemu walimsema mnyonyaji sawa mziki una maziwa Sawa Mungu kamuitaji na bado aujafanikiwa Hivi unazani ndani ya mjengo nani ataliziba pengo Acha maisha yaendelee jasili ameumaliza mwendo Alie okota almasi alikua miss Tanzania Na aliekuja inunua dukani ni mganda mwenye nia ya dhati ila hapa Kati wakatokea maharamia kawatumia Ila mwamba ninyanyasaji wa kijinsia Sa sikiza man Yeah Vipi shem mama Ivan Aa tupotupo tu ila atupo kama zamani Nawe vipi kwani mbona wife simuoni nyumba Hey chil man sina majibu Dill dine Bungeni dairy majanga viingozi wameishiwa mada Ivi mbunge wako wa tanga hoja sake unazisikiaga Sawa nitazisikiaje na Nina sipika mbovu za Wanakijiji ila Fundi wao anakuja soon kutoka uberigiji Mabii Tito na Dr shika tiyari wamesaauliwa Mwenzao mariam biliani anapika na anapakuliwa Bongo bwana ndio nchi inayo sapoti sana ujinga Utashangaa Ambaruti kala shavu ubarozi wa kinga Yalio semwa yamesamwa Kazi kwenu mlio zoea ketema Wakitaka tuyajenge tena Mwambie muda sio rafiki mwema Heyi yeyeyeheeee Kusema kweli atuchoki na kwenda jela atuigopi Tutabanana ata kama apatoshi Atupindishi ata kwa nyuma Sema leo akilali kipolo imeisha kuwa kelo Ukuta tunavunja kwa tindo Wameisha pogwa guu wako dolo na Kiki za kikolo majita tushapiga kishindo. Ili ni fagio la chuma linang'oa visiki safisha vichaka kwa moto Simba kageuka duma jangwani aipitiki ukitufata we toa moko
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out