Lyrics

It's Rostam baby... Kaolewa eeh Na nani kaolewa Wanasema haolewi kaolewa Hee Makubwa mbona pambee Huyuhuyu mwajuma nchokonowe Aaah mwajuma gani Yule mtoto wa mkunga Asiye vaa za dukani ye kutwa nguo za mtumba Bwana bwana bwana Tayari kapata mchumba Yani huku kumedamshi njoo tufinye mpunga Siwalisema yule mgumba eti kizazi hana Mtaani kicheche sana imekuaje kapata bwana Mmhh Ndoa bwana kama utani mwana Unaminyaminya nyanya unanunua biringanya Siwanasema sigara nyota Nawasha mbele na nyuma Mwana gani huyo goroka Sibora angemuoa muna Muna gan yule Baba willi Acha utani tukeshe mpaka alfajiri Mwajuma kaolewa (he na nani) Kaolewa, wanasema haolewi kaolewa Makumbwa mbona pambe Huyu huyu mwajuma nchokonowe Anamelemeta, Anamelemeta Anamelemeta, Anamelemeta Mawifi naona wanacheza namshenga Siwalisema haolewi Leo wametuliza ngenga Walemaex walompiga chenga Wanaona wivu mwajuma anapigwa denda Mbona wanaosema ana gundu Ndo hao wanalishwa keki Na walosema haolewi Ndo wana maliza kleti Wasonakadi ndo wameingia bila wito Simlimchamba biharusi mbona mnacheza kwaito Kampakampa tena uponyonyo (nipo titi) Najua hujachanga usiogope (cheza mziki) Mwajuma anakata mauno anaonekana fundi Saitakuaje tumuulize ngungi Mwajuma kaolewa (eeeh kaolewa) Kaolewa wanasema nimgumba kaolewa (eeh na nani) Ham ham ham ham kaolewa (toba) Anamelemeta, Anamelemeta Anamelemeta, Anamelemeta Simwamini mwajuma hata kama leo kaolewa Nampa wiki tatu tu talaka lazima atapewa We unawivu au umetumwa Au ulimtaka akakataa Minampa miaka mia nane atadumu na utashangaa We mgeni hapa kitaa usibishe niskize mimi Wacha mwajay apate raha Kasha dang asana mjini Olivunja ndoa ya baba sembuse huyo kapuku Tufinye cha mtume hayo mengine haya tuhusu Anameremetaa... Eeeh hiii ni nyingine tena Hmm ni Rostam tena Musa babaz wa babaz Let's take over the game
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out