Lyrics

Nimekwisha zoea (mmmmh) Kusemwa semwa na watu Ya kwao hawayaoni Kazi kusema ya watu Basi leo nawambia Maneno yenu sijali Mtabaki ivyoivyo Ya kwangu yaninyokea Wacha Wacha waseme Watasema mchana eeh Usiku watalala Wacha Wacha waseme Leo Wacha Wacha waseme Watasema mchana eeh Usiku watalala Wacha Wacha waseme Mie na wangu nyumbani (halooo) Mambo yangu burudani Aaah masikio nimeziba leo Sijali ya mitaaani Kwangu nimemthibiti Hasikii wala haoni Kajaribuni kwingine Hapa hamuoni ndani Wacha Wacha waseme Watasema mchana eeh Usiku watalala Wacha Wacha waseme Oooh Wacha Wacha waseme Watasema mchana eeh Usiku watalala Wacha Wacha waseme Jamaani kinyaunyau nyaunyau kikiacha pweza Wataka mambo hamtayaweza Leo kinyaunyau kikiacha pweza Mwataka mambo hamtaya weza Aaah kinyaunyau nyaunyau Kikiacha pweza Wataka mambo hamtayaweza Leo kinyaunyau kikiacha pweza Mwataka mambo hamtaya weza Mie na wangu nyumbani (haloooooh) Mambo yangu burudani Masikio nimeziba Sijali ya mitaaani Kwangu nimemthibiti Hasikii wala haoni Kajaribuni kwingine Hapa hamuoni ndani Wacha Wacha waseme Watasema mchana eeh Usiku watalala Wacha Wacha waseme Leo Wacha Wacha waseme Watasema mchana eeh Usiku wata lala Wacha Wacha waseme Vitu vitu Vitu vitu Vitu vitu Vitu vitu Vitu vitu Vitu vitu Vitu vitu Vitu vitu Weweee yaaah Walomba yeeeeeeh Lombaaaaaaah Wayayayaa wayaya wayaya Aaah mama chanja mama chanja (eeeeh) Mimi njaa yaniuma (Kula) Nnahamu nnahamu (eeeh) Nyama chukuchuku (kula) Na mboga ya kisamvu (eeeh) Ivi ukunahuku (kula) Mama chanja mama chanja (eeeeh) Mie njaa yaniuma (Kula) Nnahamu nnahamu (eeeh) Nyama chukuchuku (kula) Na mboga ya kisamvu (eeeh) Ivi ukunahuku (kula) Wayayayaa wayaya wayaya Aaah mama chanja mama chanja (eeeeh) Mimi njaa yaniuma (Kula) Nnahamu nnahamu (Eeeeh) Nyama chukuchuku (Kulaa) Na mboga ya kisamvu (Eeeeh) Ivi ukunahuku (Kulaa)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out