Lyrics

Mhmm, yeah-yeah Mi' napenda nisikiapo sauti yako, boy Inapoimba masikioni mwangu, nahisi kupata raha Mi' nahisi nikiwa nawe nitakuwa juu Alioniacha mwanzo, simfuati tena Mi' naomba unipe kumbatio lako, oh Baridi ilikuwepo mwanzo, isiwepo tena Mi' nahisi ukiwa nami nitakuwa juu Aloniacha mwanzo, simfuati tena Atatamani niwe wake (akiniona nipo nawe) eeh Akithubutu anifuate, eeh (ukimuona rusha mawe) oh Atatamani niwe wake, ye (akiniona nipo nawe) aah Akithubutu anifuate, eeh (ukimuona rusha mawe) Eh, eh, mhmm Aliposema mimi wa kazi gani, hii? Wewe uliwaza, utanipata lini Baby, tambua hakujua thamani yangu Wewe unayefahamu, naomba unipende Aliposema mimi wa kazi gani, hii? Wewe uliwaza, utanipata lini Baby tambua hakujua thamani yangu Wewe unayefahamu, naomba unipende Atatamani niwe wake (akiniona nipo nawe) eeh Akithubutu anifuate, eeh (ukimuona rusha mawe) oh Atatamani niwe wake, ye (akiniona nipo nawe) aah Akithubutu anifuate, eeh (ukimuona rusha mawe) Eh, eh (ukimwona rusha mawe) mm Atatamani niwe wake (akiniona nipo nawe) aah Akithubutu anifuate eeh (ukimuona rusha mawe) oh Atatamani niwe wake, ye (akiniona nipo nawe) aah Akithubutu anifuate, eeh (ukimuona rusha mawe) Aah, oh-oh, ukimuona rusha mawe, ye...
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out