Lyrics

Penye moshi lazima kindukulu Penye kuku lazima wepukulu Nimesunda ganji kwa katululu Leo sina ndai nimekuja na kisululu So tutado what? So tuta ride boda Luku safi nimepaka poda Leo natoka loko nataka kuvuka boda East twende west tukutane na ma oga Kwa wanaija wa ma naira Niko na doh me huzibank kama trya Tallie Top Shetta si me ndio mama kaila Ikifika wekendi si uwaka ka kaKawaida Waiter leta waiter leta Mbogi iko kwa njia bytheway ongeza meza Tunaiweka tuna serereka Leo ni kuwatesa na vako za Dictator aayy Tunabugia bugia Leo tuna bugia bugia Si tunabugia bugia Na isipo shika tunarudia rudia Kumewaka sana wapi Backo ya maji Leo nikushikisha jaba na washikaji Pale katikati ati ndio kuna party Mpaka Boy wangu gidi si ako maji maji Kesi baadae leo tuchoma rada Tunachoma mpaka tutatuftwe na nacada Leo Maboy wangu wanachotwa na mamatha Madem wenyu washachukuliwa na mafala Me nakula hepi natupa hasara juu Sahau shida zako na uanze kuzitoka Life tu ni moja kukufa ni number 2 So before iishe,we anzanga kuziorder Waiter leta waiter leta Mbogi iko kwa njia btw ongeza meza Tunaiweka tuna serereka Leo ni kuwatesa na vako za Dictator aaayy Tuna99bugia bugia Leo tuna bugia bugia Si tunabugia bugia Na isipo shika tunarudia rudia
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out