Lyrics

We ni zaidi ya wimbo Wacha nikuimbe, wacha nivimbe nani anakataa? Lips maringo, macho na shingo Na zao bingo mioyo inapaa We ni zaidi ya wimbo Wacha nikuimbe, wacha nivimbe nani anakataa? Lips maringo, macho na shingo Na zao bingo unawakataa Malaika wa furaha Amenishukia ndani Ameomba nikuimbie leo Malaika wa furaha Amenishukia ndani Ameomba nikusifie mrembo We ni zaidi ya wimbo Wacha nikuimbe, wacha nivimbe nani anakataa? Lips maringo, macho na shingo Na zao bingo mioyo inapaa We ni zaidi ya wimbo Wacha nikuimbe, wacha nivimbe nani anakataa? Lips maringo, macho na shingo Na zao bingo unawakataa Hata waongee, shauri zao Maneno hayavunji mfupa, shauri zao Hata waongee, shauri zao Maneno hayavunji mfupa, shauri zao Mi love love you till I die Kiss hadharani baby mi sioni nishai Mi love love you till I die Kiss hadharani honey mi sioni nishai Acha waende smoking room I smoke your love Kipindi wanadiss mapenzi magumu Unanipa raha Acha waende smoking room I smoke your love Kipindi wanadiss mapenzi magumu Unanipa raha We ni zaidi ya wimbo Wacha nikuimbe, wacha nivimbe nani anakataa? Lips maringo, macho na shingo Na zao bingo mioyo inapaa We ni zaidi ya wimbo Wacha nikuimbe, wacha nivimbe nani anakataa? Lips maringo, macho na shingo Na zao bingo unawakataa Hata waongee, shauri zao Maneno hayavunji mfupa, shauri zao Hata waongee, shauri zao Maneno hayavunji mfupa, shauri zao Hata waongee, shauri zao Maneno hayavunji mfupa, shauri zao Hata waongee, shauri zao Maneno hayavunji mfupa, shauri zao
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out