Lyrics

Uu Yeah yeah yeah Ride expe ni ya mbaru Ju amejaza sana mariamu Venye amejaza nyuma ni kifaru Manzi yangu anaserve na anadu Mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru Hashtag gain with gang Rong Rende Nina kijana huko chini anatafutwa na Hessy Niliambia bro we ni sugu With no fear uliwakulia majuu na ulihepa Get well soon stepper mtu wangu kwani ziliraru Get well soon naskia ulikaangwa Ukiokolea mjuniour wa daycare Ride expe ni ya mbaru Mariamu ni kifaru anaserve Anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru Shash ni important Yut kiombizo manze ukimseti ni za ovyo Economy ya karao ni mahongo Learn kumgei hizo mikosi zilet go Kuzidisha tenants ni waoga So bunde nikizidisho Mi hudema Nairobi kwa rentals Nilidhani ni mavlogger kumbe ni patanisho Mdem alinireport kwa radio RIP guka ye ndo alikuwa na mabob ka wailers Bash alinibuyia rot wailer Rongboy na sikucheza wong ni whichever Tuko broke bila cheddah hepa Hatari kwenye lango kama hatujaknock tuko wera Nguna na si freelancer anachinjiwa hadi Srilanka Game za paka na panya hapana Kachumbari mi huengeza spice hata pastor Tulipatana na dem ameivisha ameshanyanya Machaji huku njei ni pastor Ng'ang'a Ni juzi tu aliivishia mbang'a Ride expe ni ya mbaru Ju amejaza sana mariamu Venye amejaza nyuma ni kifaru Manzi yangu anaserve na anadu Mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru Hashtag gain with gang Rong Rende Nina kijana huko chini anatafutwa na Hessy Niliambia bro we ni sugu With no fear uliwakulia majuu na ulihepa Get well soon stepper mtu wangu kwani ziliraru Get well soon naskia ulikaangwa Ukiokolea mjuniour wa daycare Ride expe ni ya mbaru Mariamu ni kifaru anaserve Anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru Big up kwa wale watu wote wa mkono kuonyesha support Bicha mjamo si ilifanya hater jana akasag mdomo Kiuna anapreach hakuna ni venye tu ako na wafuasi stubborn Riot Nairo nayo nayo siwezi enda kwa kina Navio Huwezi niambia juu ya Africanism na nyi wote mmebleach Waya si hukata hatutaki hatutaki kuwa associated na snitch Ukitaka kuloose your sanity marry huyo B murder Drill huyo fala mwenye alikuja na dagger kwa vita ya upini Mtaa walishachoma picha Tena zile za muhadhara Naskia wakienda kudare abroad Na kina Chamwanda Mistake ya kwanza mbleina alifanya alikam kimala mala Anakatia bibi ya badman na stra za kuomba namba Ride expe ni ya mbaru Ju amejaza sana mariamu Venye amejaza nyuma ni kifaru Manzi yangu anaserve na anadu Mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru Hashtag gain with gang Rong Rende Nina kijana huko chini anatafutwa na Hessy Niliambia bro we ni sugu With no fear uliwakulia majuu na ulihepa Get well soon stepper mtu wangu kwani ziliraru Get well soon naskia ulikaangwa Ukiokolea mjuniour wa daycare Ride expe ni ya mbaru Mariamu ni kifaru anaserve Anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru
Writer(s): Alex Kimani, David John Munga, Salim Ali Tangut Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out