Lyrics

Uh, ka hainibambi, hainibambi Scene tukiipiga, tunaiwacha maridadi Yo, yo, yo, wanatuita mabani Kwani tumeshikwa tukaachiliwa mara ngapi? (Ay, ay, ay) Rada ni chafu na sisafishi Hii budget haitoshi, ukikuja kwangu, naficha dishi Yeah, yeah, yeah, rende ni chafu, wachachisha nini? Mi ni ratchet, mtu wangu, na sababu ni sitaki rafiki Underground, still superstar, how? Nafanya mpaka ma-rapper wanashtuka style zao Niko full mzuka, naweza fungua duka side zao Vile mi husuka, mi ndio sultan, you can find out, uh Hii ni maji moto, sufuria ya pili Si tulipewa kikombe, kitu nyi mlipewa ni pena mbili Yo, today na-seem sensi, bila sim-simmer Tuko East na tunashikisha ati kushinda Meru mzima La, la, la, la, la, la, la, Rong Rende Yo, yo, yo, yo, yo, yo, yo There's a jungle out there na mi ndio monkey king Top ah di top kwa kila list, cheki marking scheme Nawacheka juu macho zangu ziucheki micro things Sijawahi ekanga tat, naogopa ku-run out of skin Mi hu-work for extra cheese ndio nipatie pedi pie Mistari zile fresh na Rong Rende, mi si yule mbaya Studio kit is very fine, wacha ni-verify Chang'aa kwa jerrycan nikitangazia Behringer Very fast, nilikwara mafala kuni-derail Mi vacation CBD, nyi endeni Ole Sereni Yaani ile gwas, yaani mithili ya electric train I took a step yet again on enemy terrain Mi hubeba stock ya mwezi yote Huwezi nipata na plug, kando shokde Vela ilidunda, ah, ikabaki nirokote Juu sisi ukiwakisha kama Catholic Church candles zote Sisi tuko on, tukuwe high, twende heaven kama monk Hawanoni na wako lunch, 24 7 kama thong Ninalangi fake, leo ninataka blunt, hapana bong Tunazidu both kwa kolo kwa kiko, kill mpaka local Unless you're an asshole, huku zetu nikuhesabu maweng' Ambia Arsenal, tuliachia Abu mayengs Babu wa Swaleh, I'd rather die only in exile, niende away Rong Rende, man, unajua (Yeah, yeah) It's the Rong (Uh) Rong always, know what I'm saying? Uh, tuko mavitu, poleni Uliza maswali, tuna majibu already Na kila mahali ni kuharibu, zoeni Bonga ukiwa mbali, ukiwa karibu komeni Na-give thanks kila siku, ombeni Ni fitness juu ya instru, zoezi Na kwa ma-hater, bado beef-u ndio ngeli Huwanga ninatesa, ka una issue, bongeni Ain't nobody that can do shit like me Best in the game and the shoes fit nicely You dissed my name, I took it lightly Mi si kama nyinyi, sinanga chuki na life, G Nataka shamba huko Nanyuki na wife Lakini bado naandamwa na ma-groupie, hawaishi Nina furaha, mi nadu shit na-like Wewe bado unang'ang'ana kunitusi kwa IG Wako, Ketepa wameshindilia mafumbo Buda, peleka hiyo injili yako huko Msupa wako ananipigia pigia Nikiishika, nitaipiga, ataisikilia kwa tumbo Naeza pata nikose my nigga, who knows? Nai mpaka la Coste, nawapa full dose Uh, whatever happen, let it happen Mimi ndio mtoto alipewanga wembe akai-sharpen Ay, I really think y'all misplaced I work hard, I don't sleep, I got no weekends Uh, it's fucked up, I see no one cares So sad, man, I even drink more these days Bro, we was fine until the money came It's always a wrong time, fam, nothing changed Na kwa matothi I've been warning them Usidhani hii maombi yetu itakuwa all in vain Uh, na ka una ngori, enda studio na uni-diss, nani Uli-marry game, ndio maana imeshinda iki-miscarry Such a shame, kuna mahaga wana-kiss Haki siwezi pigia binadamu magoti, mi sio Kriss Darlin Juu kila siku niko hustle, nikisaka sipati I'm just a person, hata hii mziki naweza achia katikati Cheki mpasho, siku hizi ni kiki wanatafuta, si ganji Wengine ni passion, wengi ni fashion, mimi kwangu ni kazi Uh, nikikam, ninakam fiti Keg kwa drum na jaba ya 150 Niko mangwai, jo, na madem wa rival Mikono kwa Bible nikiwakumbusha hawanitishi Deep CBD but you can't find we Uh, si hudishi ki-G, hapa hunawi Uh, maze, mi si-give in juu mi hukawia Buda, boss, hii si bidii, hii ni uchawi Mix ya mahindi maharagwe, si huwekanga dhania ndani Hakuna beef, Indian Maharaj, unaweza dhania Gandhi Mna gwaya Rong Rende imekwisha, jikita kambi Hakika, nasikia paranoia ndio utamu ya bhangi Hii ni kwa mbok haifai, Rong Rende ndio umesahau, usi-deny Si ndio mambuzi, GOATs, nawacheki wanagwaya waki-hide Hii upuzi nime-retire, Uzi nime-hire, light up kush tumedi high Hii ni ma ya kutesa lolo, gitamuri tumeamua, yo Without any choice alijipata kwa geri mtaani bila kujua, bro Pitisha hio ngwai pahali tunaenda tuanze kuzama Arif ni mtoto wa sheriff, anatafutwa na askari, aligeuka Iscariot Yo, hata malaya akilala analipwa Nasikia ka imetoka shamba, lele ikilala inalika Basi sikiza, mjango, uki-joke utakulwa Mad Munga anaishi kwa jungle George atanyuria Kibronj alienda sumandawo kwa payroll juu mkosi kwa kikosi na ni kocha Moral ni Ex yao, ye hu-carry mpini na haitosi We ukija, kam pia na Trisha, we nakushow, mlete na ni dos Hot shit kutoka East, ni hii rende, Ronga, na ni boss
Writer(s): Churchill Oganga Mandela, David John Munga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out