Listen to High Noon (feat. Abbas & Khaligraph Jones) by Wakadinali

High Noon (feat. Abbas & Khaligraph Jones)

Wakadinali

Hip-Hop/Rap

4,295 Shazams

Lyrics

Nimelay lowkey, niliangusha padlock Saa hii natoa lock na mikono za Hancock Waliagiza tots, wakapewa maheadshot One, two, three Niko fresh bila Prince, uncle hanifeel Aunt Vivian na Hillary si wako na bills Ata ka sijawajazz, bado nachill Mi sio Jeffrey lakini nadeliver at will Actually, hii ni rap for real Khaligraph, Wakadinali na Abbas Ku-B Yeah, naamka mapema lately Siwezi mwaga unga juu mkate ni basic Manna toka heaven, ladha yake ni tasty Son, blessed nilikuwa tangu the '80s Naweza sound corny nikisema self-raising Usimind, hii grind yangu huwanga amazing To be or not to be, I have to be Doobeez or not Doobeez, Abbas Kubaff Kong kong! Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni Na rende inaride through Ata mitaa za mbali si hupiga scene tupu Naplan kuwa tycoon Guess ni wodo inapairu kushinda titration (Testing what?) My crew Nilibuy ngware kindukulu ('sssh sssh) Ndio nikuwe na high noon Check, listen Nina miaka kadhaa kwa game na mpaka sasa hawanigusi Wacha tudistinguish nani rapper, nani pussy Nani shark, yaani papa, nani sushi Juu maboy niliinspire ndio mpaka sasa wananitusi But come to think of it, ndio rap iko Kudisagree ni rapper mgani ataeka verse mwisho As long as unaweza roga, mistari zimetosha mboga Na rhyme scheme iko in order, na uko tactical Then its kids' play, easy, whether last ama kwanza Haswa hii mbogi yangu ni ya maras na wajanja We ni snitch, unadhani mbona si hukushuku Kutuseti ndio zako juu ya marupurupu Leave you in a coma, hapana alama ya dukuduku Na tukuteke kila kitu ubaki tupu tupu Na siwezi mwaga unga na nakula mboga usiku Na ka si ndeng'a, pia siwezi kosa kisu (brr!) Mambleina wanazua, hawawezi kosa issue Industry ina mapirate, utadhani Mogadishu Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni Na rende inaride through Ata mitaa za mbali si hupiga scene tupu Naplan kuwa tycoon Guess ni wodo inapairu kushinda titration (Testing what?) My crew Nilibuy ngware kindukulu (ss! Ss!) Ndio nikuwe na high noon Eey, si uongo, "Bang bang" na utagenya jiji So watoto wadogo, "Gang gang" ndio kusema nini? Mm, naona ni kama nyi mnaplay na mimi Lakini swali bado ni moja, tutapenya lini? So my broda, enjoy your days Juu tushajua vile itaisha, either in jail or dead Uh, the radio don't play me so I play my way Anyway, my father told me, "No pain, no gain" Juu bado tuko underground na sichoki Sidhani hii ni music, man, ukinicheki na kipochi Sisoti, sikosi As in, mlinimisjudge juu mlinicheki Na kitaxi na kichoki Yo, so if I die Usisahau kuambia that I lived my life Yo, Scar a.k.a Mr Rizz Mangwai Mi hujuanga nawaumiza mbaya, eh Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni Na rende inaride through Ata mitaa za mbali si hupiga scene tupu Naplan kuwa tycoon Guess ni wodo inapairu kushinda titration (Testing what?) My crew Nilibuy ngware kindukulu '(sssh sssh) Ndio nikuwe na high noon Mara better ni ka dera Mara juzi niliona hadi Vera Mara zimenirunda Kibera Mara zimenirunda kivela Hakuna venye utajifanya hutusikii Venye ni si tunaboss Unaonekana we ndio mbleina Kila beat tuko strapped na ki-Jesus piece Tukifinish hatuonekani tena Trap, trap, bila burden Trap Nai, Kitisuru na Karen Peleka wazimu Mathare Hatubongi ka haulipi Hiyo stori ni usare Samahani sana, venye maneno haiwezi vunja yai Chungeni mbuzi zenyu, kitu ya mtu si rule yangu First day alikuja then na boyfriend Saa hii anaspend time kwa room ya mine Amini msiamini, ndugu zangu Thanks God, kwa baby steps naona nikiomoka Since baby steps niliona nikiomoka Hawalali, wanadhani ati Khali alikuwa amenitoka Nimechizi as if wachape bangi, madam, hii lungi in-burn Nipe Jesus piece, Babylon army ndio ninabang Mi ndio bigger beast, fanya hadi padri dhambi na gun Hapa hacommit, tisha babi, walami, zombie inakam
Writer(s): Brian Robert Ouko Omollo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out