Top Songs By Lava Lava
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Lyrics
Eyooo laizeer
Wasafi records
Nikutume wapi sasa njiwa uende unitafutie kipenda roho
Yuuh wap kama unanisikia fanya unisaidie usichikoe ooh
Tumia wako ujasiri na machachari
Chumvi sukari niwekeeeee
Nenda na ufike mbali
Ukipata hodari usisubiri nileteee
Ila sitaki kunguru mimi eeeh
Hakai bandani
Kutwa kuzurura mitaaani kula mifupa
Asiyejua penzi nini wala shukurani
Chochote anakula ata kile kinachonuka
Akanifanya nikawaaaa
Teja wa mapenzi
Nikawa mimi
Teja wa mapenzi
Akili ikasinizia eeh
Teja wa mapenzi
Ohhh masikini
Teja wa mapenzi
Moyoni ntaumia eeh
Mama alisema penzi sherehe
Sio mabomu ya machozi kutwa kulizana
Au ujana ukiendekeza starehe
Yule mwenye je mapenzi utamuona hana maana
Mapenzi sio upinzani ule wa simba na yanga
Tuishi kama vitani kushikiana mapanga
Mapenzi jamani huyapati kwa waganga
Nishapiga sana tunguri nikashia kutanga tanga
Ndo maaanaaa
Sitaki kunguru mimi ehhh
Hakai bandani
Kutwa kuzurura mitaaani kula mifupa
Asiyejua penzi nini wala shukurani
Chochote anakula ata kile kinachonuka
Akanifanya nikawaaaa
Teja wa mapenzi
Nikawa mimi
Teja wa mapenzi
Akili ikasinizia ehh
Teja wa mapenzi
Ohhh masikini
Teja wa mapenzi
Moyoni ntaumia ehhh
Na moyo akautia panchaaa
Pancha pancha eeeh panchaa
Akautoboa
Pancha pancha eeeh panchaa
Kila kona akaweka viraka
Pancha pancha eeeh panchaa
Ona onanaaaaaaaaonaaaaaaaa
Pancha pancha eeeh panchaa
Badala ya nazi nikapewa kidaka
Pancha pancha eeeh panchaa
Aaaaaah aaaaah
Pancha pancha eeeh panchaa
Wasafiiiiii
Writer(s): Siraju Amani, Abdul Idd
Lyrics powered by www.musixmatch.com