Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Chris Kaiga
Chris Kaiga
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Leon Omondi
Leon Omondi
Composer
Chris Kaiga
Chris Kaiga
Composer
Ashihundu Akatsa
Ashihundu Akatsa
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Leon Omondi
Leon Omondi
Producer

Lyrics

(Ayi!) (Ati? Ati nini wewe?) (Sawa) (Kelele, kelele!) Naskia manduru na mashangwe na makelele (Woo! Mashangwe na makelele) Toka mandugu na madada wana wetete (Ati? Madada wana wetete) Ambia waiter tuko huku na ma-glass empty (bana) (Tuko huku na ma-glass empty) Na tunangoja zitupige kama kengele (Zitupige kama kengele) Vipi famalan? Form ya leo ni walalal? Toa form ni-perform kama acrobat Cheza na Beamer na-come na magala Wale wameiva pamoja na mzinga Baadae zikishika tucheze na six-pack kadhaa Mizinga kadhaa Ndani ya bar zitushike ka skin-tight All night hadi wazime ma-streetslights Badilisha plus-size tu a slim-type Namsugua hadi namuacha streamlined Tonight (tonight) mafisi wana-hunt for ma-feline (feline) Rare itatembea angle inclined (inclined) ATM zitawika, "Declined!" (declined) Juu magala wana figure ziko defined (defined) Ayi, defined (defined) (Ghai, ghai, ghai, ghai, ghai) Naskia manduru na mashangwe na makelele (Ati? Mashangwe na makelele) Toka mandugu na madada wana wetete (Ayy, madada wana wetete) Ambia waiter tuko huku na ma-glass empty (bana) (Tuko huku na ma-glass empty) Na tunangoja zitupige kama kengele (Zitupige kama kengele) Naskia ital (ayy), naskia irie (ayy) Leo nawasha lighter pamoja na siren (sss) Leo napanga kupiga tizi ya ma-bicep Nikizipiga kama fighter na ma right-left Na na-light dem hadi naskia enlightened Mali swafi brathe kitu high-end Vutia vaite supply yangu ni direct Toa kambambe, dial 0-7-9-8 Naskia manduru na mashangwe na makelele (Woo! Mashangwe na makelele) Toka mandugu na madada wana wetete (Ati? Madada wana wetete) Ambia waiter tuko huku na maglass empty (bana) (Tuko huku na maglass empty) Na tunangoja zitupige kama kengele (Zitupige kama kengele) (Bana)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out