Lyrics

Uniongoze na huruma zako Usipo nibariki siwezi enda Minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda Minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda Kwa mkono wako kweli umenibariki, ih, ih Kwa mkkono wako kweli umenibariki (2) (Baraka zako) Baraka zako ziwe na mimi, Mapenzi yako yawe na mimi, Namacho yako yawe na mimi Kwa Mukono wako kweli umenibariki, kwa mukono wako kweli umenibariki Ulinichagua kabla sijazaliwa Ukanichagua nabii wa mataifa yo Utaninitangulia siatogopa Chochotex2 Baraka zako ziwe na mimi, Mapenzi yako yawe na mimi, Namacho yako yawe na mimi Kwa Mukono wako kweli umenibariki, kwa mukono wako kweli umenibariki Tembea nami ee bwana Tembea nami baba yoo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out