Lyrics

Ukitajwa utaitika kwa cortcore Hearing ya fourth bro inasemekana ulipiga koto Sewersydaa aliruka kwa fourth floor Hakudedi alisurvive raia ikampiga mangoto Uliingiana kwa mbosho no Naskia umekuanga msoto no Iyo ni moshi ya local no Shh shh puff moja no Uliingiana kwa mbosho no Naskia umekuanga msoto no Iyo ni moshi ya local no Shh shh puff moja no Front row kwa riot walidedi ata before revolution ianze Some days to ballot naona MCA ndio amekuja kuresume kazi First time in public na amekuja kuwa crush ka kamikaze Ka huezi drill jipange na ka unaona unaeza nireach kajikaze Tuko na maafande hii pande wanangoja kupata order from sergeant Gava haiezi gawa mkate ka uko lucky watakuachia mabakshish Sai tuko mamzinga mabale nikiongeza apo ganja kalale Mavete walizima apo ngware after niwachome moshi za foreign Back then tukianzanga hii mziki Ilikua tu DC na sisi Burden tunamanga na siblings ile yenye ulikamilisha kamili Mtoto amekua mtoro umoroto naskia ameanza kupandisha kamisi Maisha ya mpini ye ubidi tukiwa msoto avoid tu polisi Ukitajwa utaitika kwa cortcore Hearing ya fourth bro inasemekana ulipiga koto Sewersydaa aliruka kwa fourth floor Hakudedi alisurvive raia ikampiga mangoto Uliingiana kwa mbosho no Naskia umekuanga msoto no Iyo ni moshi ya local no Shh shh puff moja no Uliingiana kwa mbosho no Naskia umekuanga msoto no Iyo ni moshi ya local no Shh shh puff moja no Rule ya mastoner moja the roller lazma apate the honours Hauezi kam kuchoma ngoja na iyo kiherehere We ni joker smoker Tell'em tuko matembe tuna pepea mbele kama Johnny za Mbeere Usipende bwerere fika maibe usiseme uliuziwa mkebe Ndani ya moshogi na ki mothongi tuambie utatoa motoi Courtesy ile design after kukuibia tunakuambia sorry Karatasi ikihide tunaingia Maili kuwashika bei ya jioni Tortoise anawalk tu slowly bila pressure ni ka ako macodeine Boarding si uingia na irori tunakuja na hasira zote ploti Kuwa burn siku ya 40 naskia kuna ngati aliperemba mbogi Missionaries walituona ma doggy, wengine walituona matodhi Walienda kwa mrogi kushika magondi Next thing unaskia kwa courti Ukitajwa utaitika kwa cortcore Hearing ya fourth bro inasemekana ulipiga koto Sewersydaa aliruka kwa fourth floor Hakudedi alisurvive raia ikampiga mangoto Uliingiana kwa mbosho no Naskia umekuanga msoto no Iyo ni moshi ya local no Shh shh puff moja no Uliingiana kwa mbosho no Naskia umekuanga msoto no Iyo ni moshi ya local no Shh shh puff moja no
Writer(s): Salim Ali Tangut Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out