Lyrics

Niko na wasee wamejipin vitu refu Kutoka hip mpaka knee Galdem ako stiff anadai kasee Tu aitingishe itii Hapo kwa garden nasuka Eve Kumbe anapenda sauti ya hiss Si tuchill Behind hio curtain si venye inaseem to be Niko na wasee wamejipin vitu refu Kutoka hip mpaka knee Galdem ako stiff anadai kasee Tu aitingishe itii Hapo kwa garden nasuka Eve Kumbe anapenda sauti ya hiss Si tuchill Behind hio curtain si venye inaseem to be Ulifinywa ukasnitch nigga si tulidhani we ni G Midday tuskii pale waitii nimekuwa nikigather streams Si tunamwagika nyi mnadrip, mkitrip tunawaacha mclean Around saa tisa na zimelipuka suicider ako Eastleigh Msicut trees kama hauplan kuplant shit Excuse me miss my name is Slim na napenda hio slit Najua ni 6 lakini siwezi mind kuingia nawe hizo streets Still tuingie D tugotee wazing tupewe G na Jing Usilete feelings bruh, si hudeal tu na logic Nina bitch ye hupiga mbraa, so ideal for robbing Utapiniwa kwa hio wall ukimblein short ka Sony Nairobi tunadrill na fuck hao watu hawaoni Rong G tunafyatuaa tukifuatwa na magagula Monski drip instead ukimpata mshow namtafta Naroll viheavy niliuza Mazda sai ni tractor Niliuza glock, nikawashikia short gun Niko na wasee wamejipin vitu refu Kutoka hip mpaka knee Galdem ako stiff anadai kasee Tu aitingishe itii Hapo kwa garden nasuka Eve Kumbe anapenda sauti ya hiss Si tuchill Behind hio curtain si venye inaseem to be Niko na wasee wamejipin vitu refu Kutoka hip mpaka knee Galdem ako stiff anadai kasee Tu aitingishe itii Hapo kwa garden nasuka Eve Kumbe anapenda sauti ya hiss Si tuchill Behind hio curtain si venye inaseem to be Wangapi wako on? Hio ni urongo Na siwezi perform yoh, watoe jongo Front ya Malboro bro na kumbe nauzanga koro Mpatie mkono incase mnono adandie stoko Mkoro ako worried naskia hadai upatane na Saigon Bygone si bygone kwanza ka ulikaukia Kanairo Una mabeshte wangapi wako worth kudie for Nishai pigwa wembe nikadrop kila kitu Kiamaiko Mpee Flying Horse ukidai kumrusha Sai ni 4 bado mbao tuanze kuvuva (4 na Kambao) Tuko Singapore vile macho tumeshusha Si hung'ara mtumba swali ni moja jiulize mbona nawakunywa Niko na wasee wamejipin vitu refu Kutoka hip mpaka knee Galdem ako stiff anadai kasee Tu aitingishe itii Hapo kwa garden nasuka Eve Kumbe anapenda sauti ya hiss Si tuchill Behind hio curtain si venye inaseem to be Niko na wasee wamejipin vitu refu Kutoka hip mpaka knee Galdem ako stiff anadai kasee Tu aitingishe itii Hapo kwa garden nasuka Eve Kumbe anapenda sauti ya hiss Si tuchill Behind hio curtain si venye inaseem to be
Writer(s): Salim Ali Tangut Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out