Lyrics

Bye bye ndio neno langu nimekuswafia Kuondoka ndio nusura yangu kuliko kukumbatia Sababu nakupenda unajua siwezi fanya tofauti Naona nguo zishakauka anua, nimeridhika na kibuti Penzi furaha, penzi jeraha Usijeokota umauti Naona nguo zishakauka anua Nimeridhika na kibuti Amini niko tima Kinitokacho kinywani si haramu Na mi ni binadamu Haya maumivu kwa damu Sababu nakupenda unajua Siwezi fanya tofauti Naona nguo zishakauka anua Nimeridhika na kibuti Si kwa ubaya nimemove on Si kwa ubaya nimemove on Si kwa ubaya nimemove on Si kwa ubaya ah nimemove on Si kwa ubaya nimemove on, move on Maana sili hata na usiku silali Ah najiuliza nini hiki wamekishindwa madakitari Ah najitedi simama siwezi, mtoto rudi kwa mama Ashalala simama penzi limenikill nyakanyaka Ah labda walitaka kuniua Ama nilikosea kuchagua Aya kushona mi nikatatua Asa ndo picha limeungua Sababu nakupenda unajua Siwezi fanya tofauti Naona nguo zishakauka anua Nimeridhika na kibuti Si kwa ubaya nimemove on Si kwa ubaya nimemove on Si kwa ubaya nimemove on Si kwa ubaya ah nimemove on Ah labda walitaka kuniua, kuniua Haya maumivu kwa damu
Writer(s): Ismail Mandoti Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out