Listen to Vita Ni Vita (feat. Nay Wa Mitego) by Tunda Man

Vita Ni Vita (feat. Nay Wa Mitego)

Tunda Man

World

167 Shazams

Lyrics

Na baba yaga Kwenye huu utata Haya twende,anza kujitetea Mesen Selekta Alianza mwenyewe kunitumia message Morning shem Na mi nikamjib, nika reply Morning Mana niko mwenywe Ghali anipokelei chochote twende sehemu Na mi nikamuuliza humwambii bwana ako kwanini Akajibu yuko busy Me maswali mengi nisiulize Anatafuta bwana amtulize Kama sio mimi mwengine Okay, me naomba niulize Najua mwanangu uko bize Hasa bora mimi nimtulize Au aende kwa mwengine Unataka tugombane, si ndioo Kisa huyo demu, si ndioo Tufarakane, si ndioo Kisa huyo demu, si ndioo Aahh unataka tugombane, si ndioo Kisa huyo demu, si ndioo Tufarakane, si ndioo Kisa huyo demu Huu ni ugomvi hii ni vita Bora mwengine angepita Rafiki wa damu kabisa Na unajua jinsi alivyo nishika Kiangazi masika kila dakika Wa kupakua na kupika Kwanini hukusema mwanzo ukanificha Leo damu itamwagika Unajua uchungu wa kupenda wewe (I'm sorry) Mganga kujiganga mwenyewe (I'm sorry) Nishawai kugombana na wewe (I'm sorry) Sasa leo nazaa na wewe (I'm sorry) Unataka tugombane, (ndioo) Kisa huyo demu, (ndioo) Tufarakane, (ndioo) Kisa huyo demu, (ndioo) Aahh unataka tugombane, (ndioo) Kisa huyo demu, (ndioo) Tufarakane, (ndioo) Kisa huyo demu (ndioo) Hehee, wanasema abiria chunga mzigo wako Mke wa mtu sumu Sasa ukijifanya una maziwa Dawa yako ni mafuta
Writer(s): Khalidi Tunda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out