Lyrics

Iyee iyee iyee Mi nilidhani mwenzangu una mie Utanitunza kwa shida na raha Aibu yetu ya kwako na mie Isili yetu isivunde chang'aa Ah mimi na wewe si wa kutupia vijembe Tushakuwa watu wazima Kwanza jielewe tazama nyuma na mbele Bila daftari utapotea shirima Mwenzako mi muungwana Si mshamba wa mapenzi Ni kawaida tu kukosana Na si kuleta uchochezi Mwenzako mi muungwana Si mshamba wa mapenzi Ni kawaida tu kukosana Na si kuleta uchochezi We mwana washa moto (Chunga chunga) Usichochee makaa (Chunga chunga) Tukutane salama mimi na wewe (Chunga chunga) Usifufue balaa (Chunga chunga) Usiwashe moto (Chunga chunga) Usichochee makaa (Chunga chunga) Tukutane salama mimi na wewe (Chunga chunga) Usichochee balaa (Chunga chunga) Maji mkononi huwezi kuyashika (Shika) Na mi mwanadamu si malaika (Ika) Kabla hujafa hujaumbika Nitunzie madhaifu yangu oooh Penzi lilinikaba kama tai Japo uliniahidi mi nawe till I die Penzi ukalimwaga kama chai Nami nazima data hadi WiFi Mwenzako mi muungwana Si mshamba wa mapenzi Ni kawaida tu kukosana Na si kuleta uchochezi Ooh mwenzako mi muungwana Si mshamba wa mapenzi Ni kawaida tu kukosana Na si kuleta uchochezi We mwana washa moto (Chunga chunga) Usichochee makaa (Chunga chunga) Tukutane salama mimi na wewe (Chunga chunga) Usifufue balaa (Chunga chunga) Usiwashe moto (Chunga chunga) Usichochee makaa (Chunga chunga) Tukutane salama mimi na wewe (Chunga chunga) Usichochee balaa (Chunga chunga) We mwana washa moto (Chunga chunga) Tukutane salama mimi na wewe (Chunga chunga) Usiwashe moto (Chunga chunga) Tukutane salama mimi na wewe (Chunga chunga) Usichochee balaa (Chunga chunga) Chunga chunga, chunga chunga Chunga chunga, chunga chunga Chunga chunga, chunga chunga Chunga chunga, chunga chunga (Mafia)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out