Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Boutross Munene
Boutross Munene
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boutross Munene
Boutross Munene
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Full Chamberz
Full Chamberz
Producer
Oriedo
Oriedo
Producer

Lyrics

This (ooh, ooh, yeah) (Vile nilipatwa) Yeah, yeah, yeah, yeah Ooh, yeah, yeah (vile nilipatwa) Yeah, yeah, yeah Story ilianza like this (this) Vile nilikutana na Peng (peng) Haga ilikuwa legit (legit) Jegi zilikuwa zinadance (dance) So ilibidi nimechora (chora) Vile chipo atachota (chota) Kumbe huyu ngeus anachora(chora) Vile Bouti atatokwa (yeah, yeah, ayee) Ngeus alikuwa amepagawa (pagawa) Ningejua hapa ni tafash (tafash) Alispike up the liquor (ooh) Hapa bado nikizama (nikizama) Kichakani nilisaka (ooh) Nikapata nikawinda (winda) Mi ata sikuwa rada (sikuwa rada) Nilianza tu kuzima (aye) Shawty ran off with a laptop (laptop) Chains na Bluetooth speaker Then nikaenda kwa kitchen (kitchen) Ata noodles aliiba (maze) Buda ilibidi nimewasha (aaah) Nitulie tu nikiwaza (waza) Vile huyu ngeus ameshinda (shinda) Anajua alimaliza (yeah, aye, aye) Ata nikipiga hiyo mbana (mbana) Mteja tu ndio mi naskia (prrprr) Ngeus ametambulika (lika) Mi nililalia maskio (mi nililalia maskio) Buda nilijua nimepatwa (patwa) Vile nilikuwa naona anasakwa (sakwa) Ilibidi nimewasha (aye) Niendelee tu nikiwaza (yeah, yeah) Story ilianza like this (this) Vile nilikutana na Peng (peng) Haga ilikuwa legit (legit) Jegi zilikuwa zinadance (ooh) So ilibidi nimechora (chora) Vile chipo atachota (chota) Kumbe huyu ngeus anachora (chora) Vile Bouti atatokwa (ooh) Story ilianza like this Vile nilikutana na Peng (peng) Haga ilikuwa legit (legit) Jegi zilikuwa zinadance (heh) So ilibidi nimechora (chora) Vile chipo atachota (chota) Kumbe huyu ngeus anachora(chora) Vile Bouti atatokwa (aye) Shida bouti alipewa hiyo duri vizuri Bouti aliibonda (aye) Bouti hakuuliza mbona Tumetoka hiyo dunda na dame hajachoka (aye) Kumbe huyo ngeus ako maji ju saa sita ya usiku alitema mogoka (aye) Vile nilikuwa mangwai hadi nilicheki huyo dame akidoze na toja But usiku alivyochachisha shawty alipanda hadi kwa dirisha Vile ananyonya anapandisha hakuna time mzae alilalishwa Buda hiyo mduks inatisha so ata akisonga Mi sikusoma ni ka mchele ilikuwa ndani ya cola Ju nilichoma then nikabonda then kitanda ikabonga Lakini kitandani usiku wa manane baridi ilikuwa inanigonga ju dem Alitumia bedsheet kubeba njumu na nguo za gikomba (aye) Dame alihepa na mali lakini aliseti bado nyongi moja Ratchet intention, shawty imagine chenye aliniachia ni ngotha Story ilianza like this Vile nilikutana na Peng (peng) Haga ilikuwa legit (legit) Jegi zilikuwa zinadance (ooh) So ilibidi nimechora (chora) Vile chipo atachota (chota) Kumbe huyu ngeus anachora (chora) Vile Bouti atatokwa (ooh) Story ilianza like this (this) Vile nilikutana na Peng (peng) Haga ilikuwa legit (legit) Jegi zilikuwa zinadance (heh) So ilibidi nimechora (chora) Vile chipo atachota (chota) Kumbe huyu ngeus anachora (chora) Vile Bouti atatokwa (aye) Story ilianza like this (this) Vile nilikutana na Peng (peng) Haga ilikuwa legit (legit) Jegi zilikuwa zinadance (ooh) So ilibidi nimechora (chora) Vile chipo atachota (chota) Kumbe huyu ngeus anachora (chora) Vile Bouti atatokwa (ooh)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out