Lyrics

Bwana Bwana, Yesu Yesu Bwana Bwana, Yesu Yesu Bwana Bwana, Yesu Yesu Bwana Bwana, Yesu Yesu Jina lipitalo majina yote Yesu Alfa na Omega yeye ni Bwana Mwokozi wa ulimwengu Yesu Tunalisifu jina lake Bwana Kila goti linapigwa kwake Kila ulimi wakiri ni Bwana Nani mwengine kama wewe Hakuna mfano wako Bwana Tunaimba tunasifu kwa neema yako Kila mwanye pumzi asifu Bwana Wastahili heshima na utukufu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out