Lyrics

Nikiamka Naasha ngwai, napiga ngasha Nakunywa ngiayi, naasha ndai Nadunda nai, zoza watoto after kirai Ziko kwa drop zone hizo ma mali Cheki kwa drop zone, aki walai Aki walai, aki walai Cheki kwa drop zone, aki walai Nikiamka Naasha ngwai, napiga ngasha Nakunywa ngiayi, naasha ndai Nadunda nai, zoza watoto after kirai Ziko kwa drop zone hizo ma mali Cheki kwa drop zone, aki walai Aki walai, aki walai Cheki kwa drop zone, aki walai Wanasema dosh siku hizi ume change ushaienda na msupa tangu lini picnic Cops waliskia me ni big deal Nika have ku cryia Jah me ni pickney, yoo Beast wakini pick me, jela ziko huko kwa stairs ndio ntalala nditni Ntalala na ma felon wenye wanaugua acne Me bado king ku finesse, njege wana njaro chafu is my character trait Mlihepa na sikuja na mse nilipull na scrap in my pet,ayy we Sikuangi na stress we baki mtaa udetect mahali dick yangu ina stretch Foreign ndio bei, shout out diani me siezi enda surfing dubai Mambang'a washainileteanga za kijicho pevu tangu chuo Kuna siku opp alini target na mtoo akanimiss hadi nguo Ever since football Tukiguzanga huko maisa na manucho Nakumbukaa tukiendea zoot kwa gunia Ungenotice ni unusual Si hukata keg ata pesa turokote Now yuko kwa gang, ndugu wa toka nitoke Nilienda kwa plug akani charge, naskia ye ndio ako na tokkens Unabonga tuna beef, usibonge matope Unatakaje, si tuieke live in the open Nikiamka Naasha ngwai, napiga ngasha Nakunywa ngiayi, naasha ndai Nadunda nai, zoza watoto after kirai Ziko kwa drop zone hizo ma mali Cheki kwa drop zone, aki walai Aki walai, aki walai Cheki kwa drop zone, aki walai Nikiamka Naasha ngwai, napiga ngasha Nakunywa ngiayi, naasha ndai Nadunda nai, zoza watoto after kirai Ziko kwa drop zone hizo ma mali Cheki kwa drop zone, aki walai Aki walai, aki walai Cheki kwa drop zone, aki walai Mashida zangu ni 99 Na 95 ni za ganji walai Zingine nne ni vile ntarise Mali unadai, cheza na price Breeder ni gent ki james bond Na para za ki ragga muffin kwa chuom Cheza na rieng na ulay low aliongeza nyege ju ya moshi ya ndom Drop zone imejaa wasitiri So na supply kamili kamili Mbogi iko ready unrully and willing Tafadhali we usicheze na mimi Mbota si rolly ni g-shock Ju naamini mwafrika ndio Kristo Jesus piece kwa hio shingo Unaogopa kusota ama kifo Jifunze commerce ndio uongeze commas Breeder kwa verse, Dosh kwa chorus Niliapa siezi kuwa beggar Nairobi Si heri nipate pesa na hii hobby Si ni TK, nishauliza mbogi do you copy?uh Si ni given, niko mboka jioni kama watchie Nikiwa mless nilikua naogopa ma doggy Saa hii nadarwa na mabitch ka dolly Nilifikaje hapa bila wao ku notice Time is now na jina ni Breeder, konkii Nikiamka Naasha ngiayi, napiga ngasha Nakunywa ngaiyi, naasha ndai Nadunda nai, zoza watoto after kirai Ziko kwa drop zone hizo ma mali Cheki kwa drop zone, aki walai Aki walai, aki walai Cheki kwa drop zone, aki walai Nikiamka Naasha ngwai, napiga ngasha Nakunywa ngiayi, naasha ndai Nadunda nai, zoza watoto after kirai Ziko kwa drop zone hizo ma mali Cheki kwa drop zone, aki walai Aki walai, aki walai Cheki kwa drop zone, aki walai
Writer(s): Alex Kimani, Paul Baraka Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out