Listen to Unanimaliza by Ray C

Unanimaliza

Ray C

African

23,012 Shazams

Lyrics

Abi dady Unanimaliza wewe Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Penzi lako linimekolea sijiwezi darling Unayonipa sijazoea sikuwachi honey Penzi lako linimekolea sijiwezi darling Unayonipa sijazoea sikuwachi honey Nnapokuona mi nataka Ongeza manjonjo mi na takataa Sitaki mwengine we unanifaa Tena kwa mwengine mi sinoi Unavyo touch touch kiunoo Unaamsha amsha yaliomo Unavyo ngata yako midomoo unanimalizaa Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Siii ya sililizi maneno yawatu Nimekupenda mwenyewe Siii karibishi ya watu Tumependana wenyewe Tutaenda wote vitani vitani Tutakabana siuutani siutani Mambo ni mengi duniani duniani Aiyayayayaah Tutaenda wote vitani vitani Tutapambana si uutani si utani Mambo ni mengi duniani duniani Aiyayayayaah Sitaki mwengine we unanifaa Tena kwa mwengine mi sinoi Unavyo touch touch kiunoo Unaamsha amsha yaliomo Unavyo ngata yako midomoo unanimalizaa Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out