Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ssaru
Ssaru
Lead Vocals
PRODUCTION & ENGINEERING
Mavo On The Beat
Mavo On The Beat
Producer

Lyrics

Whine be dis Whine be dat Whine nikama uko na kishash kwa bash (mad) Ame do dis (ama do dis) Ame do dat (Ssaru) Mavo on tha beat Hawayu say, karibu kwenye chamber Pe-pewa kiti tayari ushakua member Sit down de ting nataka kukupa tender Ka-tender, January to December Rada nijea niko na umbea Na nataka muskize izi udaku ninawapea (shika) Nikikupa unamezea Nataka mbolea tena inside dare Whine be dis Whine be dat Whine nikama uko na kishash kwa bash A me do dis A me do dat I do de dance tunadudaing kwa mat Mi' nikaamkora kaamkora Leo kuna picha inachomwa, inachomwa Ka-kamkora,kamkora Leo kuna picha inachomwa,inachomwa One two kimoja Sitaki kungoja Ntaka izo nduru na ziamshe awa masoja Kama ni hoja, zipeleke Khoja Tonight jibin kama utashukisha toja Tunawakilisha ukitaka unaezaniitisha mia Waiter niongeze shisha na chupa ya kingfisher Nawamakinisha kuna watu tunawafeelisha Wageni mmekaribishwa kupita tunalipisha Whine be dis Whine be dat Whine nikama uko na kishash kwa bash A me do dis A me do dat I do de dance tunadudaing kwa mat Mi' nikaamkora kaamkora Leo kuna picha inachomwa, inachomwa Ka-kamkora,kamkora Leo kuna picha inachomwa,inachomwa Aaai brathe,Santos Uyu si ni Ssaru champe? Ssaru,(Santos) Ssaru wa manyaru Acha nikwambie brathe Unaona kama ni mbele tunajipeleka (aaiiii) Hahahaha oya oya oya What is de matter? Nishakukamata Naeza kuconnect ata kaa umezima data Whatsup whatsup sikuizi zinaleta matata So talk to me Ni nini unataka? Nitakupa vyote nitakupa lolote Nataka twende mbali mbali unifanye chochote Aah popote nikilala niote Na nikitrip niokote Whine be dis (whine be dis) Whine be dat (whine be dat) Whine nikama uko na kishash kwa bash (whine nikama uko na kishash kwa bash) A me do dis (a me do dis) A me do dat (a me do dat) I do de dance tunadudaing kwa mat (I do de dance tunadudaing kwa mat) Whine be dis Whine be dat Whine nikama uko na kishash kwa bash A me do dis A me do dat I do de dance tunadudaing kwa mat Mi' nikaamkora (whine be dat) kaamkora Leo kuna picha inachomwa, (a me do dat) inachomwa Ka-kamkora, (whine be dat) kamkora Leo kuna picha inachomwa, (a me do dat) inachomwa (tunadudaing kwa mat) Mavo yoh brad
Writer(s): Sylvia Saru Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out