Lyrics

Kila nipatalo napatanalo Likiwa ni ovu au liwe jema Lako unalo utakufa nalo Roho yako mbovu fisadi si wema Mimi namuomba mungu ndio nafanikiwaa Na roho yangu nzuriii Wewe wa kufuru mungu ndio wa haribikiwaa Kwa roho yako mbaayaaaa Maadamu nimeswafii niaa Ubaya wako utakurudiaaa Maadamu nimeswafii niaa Ubaya wako utakurudiaaa Ooooohhh aaaahh oooohhh Aaaaaaahhh mmmmmmhhh Nikome wewe mzushi paparadhi manafikiii Hunilishi hunivishi hunipi wewe ridhikiii Nikome wewe mzushi paparadhi manafikiii Hunilishi hunivishi hunipi wewe ridhikiii Thamani yangu hushushii Napendeza sina dhikiii Kwa raha zangu naishiii Niko safi sina chukii Thamani yangu hushushii Napendeza sina dhikiii Kwa raha zangu naishiii Niko safi sina chukii Hupendi kuniona naishi jambo hilo nihakikii Ooooohhh Ni bure Safishi nipe sumu si dhurikii Ooooohhh Hupendi kuniona naishi jambo hilo nihakikii Ooooohhh Ni bure safishi nipe sumu si dhurikii Ridhiki anipa mungu hunipi wewe kiumbee Utakufa kwa uchunguu huwezi unizibieee Wacheka wajichekesha rohoni mwako unaumiaaa Oooooohhh unaumiiaaaa Hakuna asie kujua wewe una roho mbaya Hakuna asie kuelewa fisadi choyo kimekujaaa Hakuna asie kutambua unataka upate wewe Wenzio wakosee oooohhh wakosee Ndo ya zidi kung'araa nuru ya nyota yanguuu Ndio inayokukera na yakuzidisha machunguuu Bado ya zidi kung'araa nuru ya nyota yanguuu Ndio inayokukera na yakuzidisha machunguuu Umeziunda idara Uvuruge maisha yangu Niko shari wastaraa Kupendwa bahati yangu Umeziunda idara Uvuruge maisha yangu Niko shari wastaraa Kupendwa bahati yangu Rabii kwa zake kudura napata ridhiki yangu Ooooohhh Kwa kila lenye madhara anilinda Mola wangu Aaaaaaahhh Rabii kwa zake kudura napata ridhiki yangu Ooooohhh Kwa kila lenye madhara anilinda Mola wangu Ridhiki anipa mungu hunipi wewe kiumbee Utakufa kwa uchunguu huwezi unizibieee Wacheka wajichekesha rohoni mwako unaumiaaa Oooooohhh unaumiiaaaa Hakuna asie kujua wewe una roho mbaya Hakuna asie kuelewa fisadi choyo kimekujaaa Hakuna asie kutambua unataka upate wewe Wenzio wakosee oooohhh wakosee Utaniona hivihivi mwana wa mwenziooo Nameremeta maisha yangu mazuriiii Nafasi ya upendeleo najifariji moyo wangu Acha nibandikwe cheo ni nzuri bahati yangu Kokote pale ni endapo napendwa kwa kadhi yangu Ni bure ni bure ni bure ni hasada zakooo Ni bure ni bure ni bure ubaya wako Ukiona mavazi yananipenda unachanganyikiwa Ni bure ni bure ni bure na choyo chakoo Ukiona napendwa mwenzangu wivu unakupandaa Ni bure ni bure ni bure na ubaya wako Ukiniona navijisenti mwezangu roho inakuumaa Ni bure ni bure ni bure na choyo chakoo Ni bure ni bure ni bure ni hasada zakooo Ni bure ni bure ni bure ni hasada zakooo Ni bure ni bure ni bure na uchoyo wakoo Ni bure ni bure ni bure na uchoyo wakoo Nimekuzoea nishakuzoeaa mimi Kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi Nimekuzoea ooohhh nishakuzoeaa mimi Kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi Mwenzanugu hunackificho wajionesha bayanaaaaaaahh Roho mbaya na kijicho vimekutawalaa sanaaaaahh Ndio maana wavimba macho kila unaponionaaaa Nimekuzoea nishakuzoeaa mimi Kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi Moto wako wa kifuu hunipandishii preshaaaaaahhhhhh Kiti chako kipo juu chaelea kwenye hewaaaaaaah Japo mnuka kupuu iko chini kuna paawa Nimekuzoea nishakuzoeaa mimi Kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi Nazi haishindi jiwe hilo nadhani wajuaaaaaaaahhhhh Majani chakarawe wala jua si mvuaaaaaahhh Kanipa mola mwenyewe Nimekuzoea nishakuzoeaa mimi Kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi Nimekuzoea nishakuzoeaa mimi Kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi Nimekuzoea nishakuzoeaa mimi Kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi Nimekuzoea nishakuzoeaa mimi Kunitimba majiti ya rohoni nishakuzoea mimi
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out