Lyrics

Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako×2 (Niumbie Baba)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako (Nakuomba Baba)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako (Nisikilize Yahwe)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako (Daudi akasema)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako×2 (Niumbie Baba)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako (Niwapende wanadamu)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako (Niumbie Yahwe)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako Roho Mtakatifu, hakuna kama Wewe Roho wake Kristo, hakuna kama Wewe Roho wake Baba, hakuna kama Wewe Roho wa uweza, ni nani kama Wewe Roho wake Baba, hakuna kama Wewe (Nasema hakuna...)haaakuna, kama Wewe, Hakuna Mungu kama Wewe (Imba hakuna)haaakuna, kama Wewe, Hakuna Mungu kama Wewe Roho wa amani, hakuna kama Wewe Roho wa upendo, hakuna kama Wewe Roho Mtakatifu, hakuna kama Wewe Roho wake Kristo, ni nani kama Wewe Roho Wake Baba, hakuna kama Wewe (Nasema hakuna)Haaakuna, kama Wewe, Hakuna Mungu kama Wewe (Imba hakuna)haaakuna, kama Wewe, Hakuna Mungu kama Wewe×8
Writer(s): Anthony Musembi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out