Lyrics

International CBO Maradhi ya mapenzi kupoma ni utata Bure utapiga mbizi jibu hutopata Acha kinywa kinywe pombe nipunguze mazonge Ili muradi nikusahau Waisha ni ponkonya tonge ni kaishi kinyonge Nyie mapenzi ya namadharau Nilizama kwenye mapenzi bila kujua faida na hasara zake Kumbe kuchomoza kwa mwezi kuzama kwa jua Kuna tofauti yake Mapigo ya baridi bila sweater najitutumua Na ficha siri, kumbe mwenzangu anafichua yani mitaani bambe Wenge, niende wapi Mwenzenu wenge na changanyikiwa sijui pakuelekea Wenge, niende wapi Mwenzenu wenge na changanyikiwa sijui pakuelekea Amefungua chemuchemu ya machozi Kutwa kucha naliae Naye alifanya kusudi, pendo akanisusia Na nilizama kwa bahari bila kina kujae Ghafla wakaja waranguzi penzi wakalilunguae Najaribu kujitenga maumivu ya pone Inaniadhibu mpaka natamani upofu nisimuone Mapigo ya baridi bila sweater najitutumua Na ficha siri, kumbe mwenzangu anafichua yani mitaani bambe Wenge, niende wapi Mwenzenu wenge na changanyikiwa sijui pakuelekea Wenge, niende wapi Mwenzenu wenge na changanyikiwa sijui pakuelekea Christopher, Jonatane Kwete, Amani Luninda, Na Arizona Patrick Jomali G.RR Ah! yeah! yeah!
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out