Lyrics

Kuna sababu, moyoni mwangu Yakukuabudu, Bwana wangu Kwa hali yoyote, najua Wanipenda Wewe unayetujali, Uinuliwe Kuna sababu, moyoni mwangu Yakukuabudu, Bwana wangu Kwa hali yoyote, najua Wanipenda Wewe unayetujali, Uinuliwe eeeh! eeh! eee! Shukurani zajaa rohoni mwangu Utukufu sifa ni zako Bwana Jina Lako likitajwa, nahisi kunyenyekea Niiname mbele zako nikusujudu Toka nikujue, sijawahijuta Umekua mwema, ndani ya maisha yangu Mambo yote, yamekua shwari Shukurani zajaa rohoni mwangu Utukufu sifa ni zako Jina Lako likitajwa, nahisi kunyenyekea Niiname mbele zako nikusujudu Jina Lako likitajwa, nahisi kunyenyekea Niiname mbele zako nikusujudu Shukurani zajaa rohoni mwangu Utukufu sifa ni zako Jina Lako likitajwa, nahisi kunyenyekea Niiname mbele zako nikusujudu Jina Lako likitajwa, nahisi kunyenyekea Niiname mbele zako nikusujudu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out