Lyrics

Damu yako yenye baraka inayo tuosha makosa Ilitoka msalabani bwana Yesu, ulipokufa Nastahili 'pata hukumu, na siwezi mimi kujiosha Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa Safi, safi kweli Safi, safi kweli Unioshe katika damu Nipate kuwa safi kabisa Safi, safi kweli Safi, safi kweli Unioshe katika damu Nipate kuwa safi kabisa Yesu, ulivikwa miiba, kuangikwa juu ya mti Ulivumilia mateso, maumivu na majeraha Ninataka kijito hicho, n'ende na nikasafishwe sana Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa Safi, safi kweli Safi, safi kwei Unioshe katika damu Nipate kuwa safi kabisa Safi, safi kweli Safi, safi kweli Unioshe katika damu Nipate kuwa safi kabisa Baba, kweli nina makosa, moyo wangu wa udhaiffu Mimi mwenye dhambi rohoni nitaona wapi Mwokozi? Yesu, kwako msalabani naja, ninakuamini sasa Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa Safi, safi kweli Safi, safi kweli Unioshe katika damu Nipate kuwa safi kabisa Safi, safi kweli Safi, safi kweli Unioshe katika damu Nipate kuwa safi kabisa Bwana, nimefika karibu, unilinde kwako milele Ufungue kila kikamba, unijaze moyo mwenyewe Na karibu ya msalaba nitakaa hata kufa kwangu Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa Safi, safi kweli Safi, safi kweli Unioshe katika damu Nipate kuwa safi kabisa Safi, safi kweli Safi, safi kweli Unioshe katika damu Nipate kuwa safi kabisa Unioshe katika damu Nipate kuwa safi kabisa Unioshe katika damu Nipate kuwa safi kabisa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out