Listen to Popo (feat. Lody Music) by Taoo

Popo (feat. Lody Music)

Taoo

Hip-Hop/Rap

Credits

PERFORMING ARTISTS
Taoo
Taoo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Eugen Baltazar Soka
Eugen Baltazar Soka
Songwriter
Alawi Omari Alawi
Alawi Omari Alawi
Songwriter
Hizam Hashim Hemedi
Hizam Hashim Hemedi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
O.Righty
O.Righty
Producer

Lyrics

Heh heh, O.Right Serious? Lody Music on this one Ayii It's me your favourite boy Drop dat (O.Righty) Mapenzi raha first time ku meet nikamwambia i love you Hakusita kunijibu i love you too Nikamwomba nafasi kwenye moyo wake akasema chonde usiniumize tu Nikatabasam kwa masham sham baada ya kuona mtoto ana utu Promise nikampromise hatopata maumivu katu Kwake baba mwenye nyumba ndo mimi Ananlisha mapocho vinyama vya chini Hapa tulipofika tumekula yamini Na anapenda kupoa vikuku madini Ukuti ukuti wa mnazi mtoto kanirudisha shule Mmh aa ee dozi zama sikumbuki kule Ukuti ukuti wa mnazi mtoto kanirudisha shule Mmh aa ee dozi zama sikumbuki kule Pooo popopo hatulali na njaa tunalaliana Pooo popopo Pooo popopo wanaona wivu tunavyopendana Pooo popopo Usione ujinga mbona unazima data ma baby ooh Nikikuita ukuje na mwendo unanata ma baby ooh Pooo popopo hatulali na njaa tunalaliana Pooo popopo Kwenye baridi joto nikumbate Nikupe vinono ujing'ate Wakuja wakija watokwe na mate Hebu watambie kwanza kikate Si unajua uzuri wako umepitiliza Hujaniteka me na hizo nguvu za giza Unataka out Morocco Ibiza Sema baby kipi tumebakiza Kwake baba mwenye nyumba ndo mimi Ananilisha mapocho vinyama vya chini Hapa tulipofika tumekula yamini Na anapenda kupoa vikuku madini Ukuti ukuti wa mnazi mtoto kanirudisha shule Mmh aa ee dozi zama sikumbuki kule Ukuti ukuti wa mnazi mtoto kanirudisha shule Mmh aa ee dozi zama sikumbuki kule Pooo popopo hatulali na njaa tunalaliana Pooo popopo Pooo popopo wanaona wivu tunavyopendana Pooo popopo Usione ujinga mbona unazima data ma baby ooh Nikikuita ukuje na mwendo unanata ma baby ooh Pooo popopo hatulali na njaa tunalaliana Pooo popopo It's your favourite boy On this one, on this one eh? O.Righty Taoo (Worldwide intellect)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out