Lyrics

Ye hukua close than a bro That's my savior Ananipenda i know that's my savior Ata warushe bombo ako nami kwa storm That's my savior Since i was born amenitolea form That's my savior Nimeona akicome through Time and time again Nimeona ye ni mtrue Time and time again Nimeona mazuri akido do Time and time again Nimeona akiniweka juu juu Time and time again God is for me yeh he's for me Yote nitaweza He's for me yes he's for me Nani ataniweza Kona kona Niko na yesu kwa kona yangu Kona kona Niko na yesu kwa kona yangu Me i know me i know Niko na yesu kwa kona yangu Me i know me i know Niko na yesu kwa kona yangu Nikimuita anajibu Yeah yeah anajibu Nikiugua ananitibu Yeah yeah ananitibu Mimi ni mitawi ye mzabibu Yeah yeah mzabibu Nikiwa naye kila kitu Yeyee ni kila kitu Oh yeah Furaha iliyoje kujua mokozi yuko pande yangu Furaha iliyoje kujua mokozi ndio ngao yangu Sasa nimejawa na furaha kweli furaha furaha furaha Nasema kwa yesu ni raha kweli ni raha ni raha ni raha God is for me yeh he's for me Yote nitaweza He's for me yes he's for me Nani ataniweza Kona kona Niko na yesu kwa kona yangu Kona kona Niko na yesu kwa kona yangu Me i know me i know Niko na yesu kwa kona yangu Me i know me i know Niko na yesu kwa kona yangu Kona kona Niko na yesu kwa kona yangu Kona kona Niko na yesu kwa kona yangu Me i know me i know Niko na yesu kwa kona yangu Me i know me i know Niko na yesu kwa kona yangu God is for me yeh he's for me Yote nitaweza He's for me yes he's for me Nani ataniweza
Writer(s): James Mukige Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out