Lyrics

Kuna kitu kuna kitu Kuna kitu kuna kitu Kuna kitu kuna kitu Mi najua kuna kitu Pitson I know there is something Kuna kitu kuna kitu Kuna kitu Mi najua najua najua najua Kuna kitu Nakumbuka Uliofanyia Wanaisiraeli Ulipokuwa Ukiwatoa Misiri Farao nyuma yao bahari mbele yao Ulifanya kitu Baba ulifanya kitu Niwewe tu wingu la moto jangwani Najua kuwa kuna kitu unachofanya tukiamini Hannah aliomba alijua kuna kitu Ukampa Samueli si ulifanya kitu Kuna kitu Mungu Hufanya na binadamu Tukiamua kumuangalia Yeye tu Anajitokeza kutuonyesha kuwa Yeye ni Mungu Na Anafanya kitu utajua kuna kitu Kuna kitu Mungu Hufanya na binadamu Tukiamua kumuangalia Yeye tu Anajitokeza kutuonyesha kuwa Yeye ni Mungu Na Anafanya kitu utajua kuna kitu Say ohh na na na Ooh na na na Oh na na na aah Oh na na na Oh na na na Oh na na na yeah Kichakani Uipomuona Musa akiangalia Ulinena Leo pia mimi Baba nakuangalia We nena Moja neno moja na nitapona Njoo Ufanye kitu najua kuna kitu Nikikumbuka Ulivyomtumia Gidioni Kutoa watu Wako Mikononi mwa Midiani Sio nguvu zake hakushinda kwa wingi wa majeshi Ulifanya kitu Baba ulifanya kitu Kuna kitu Mungu Hufanya na binadamu Tukiamua kumwangalia Yeye tu Anajitokeza kutuonyesha kuwa Yeye ni Mungu Na Anafanya kitu utajua kuna kitu Kuna kitu Mungu Hufanya na binadamu Tukiamua kumwangalia Yeye tu Anajitokeza kutuonyesha kuwa Yeye ni Mungu Na Anafanya kitu utajua kuna kitu Say ohh na na na Ooh na na na Oh na na na aah Oh na na na Oh na na na Eeh Aah aah aah Oh na na na Ooh na na na yeah Oh na na na Oh na na na Everybody say Aah aah aah Kuna kitu kuna kitu Kuna kitu kuna kitu Kuna kitu kuna kitu Mi najua kuna kitu Pitson I know there is something Kuna kitu kuna kitu Kuna kitu Mi najua najua najua najua Kuna kitu
Writer(s): Emmanuel Makau, Pitson Ngetha Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out