Lyrics

J4d Sound Mmmh Shii Beberuu Aadasco mtu Mbaya Oya manara wee eeh Ali Kamwe wee eeh Gsm Wee eeh Injinia Wee eeeh Oya wakizitaja timu zao wasiache kujitaja Yanga Yaani mkizitaja timu zenu msiache kuitaja Yanga Wanangu wakizitaja timu zao wasiache Kuitaja Yaani mkizitaja timu zenu msiache kuitaja Yanga Timu yangu inaweza kucheza na yoyote Inaweza kuruka na yoyote Chama langu linaweza kucheza na yoyote Linaweza kuruka na yoyote Timu yangu naikubali Wallah naweka hata nyumba La kuvunda la kuvunda huwa limepata wa kumpamba Oya yanga danger tena danger alafu danger tena Ukikutana na yanga presha itashuka na utajamba Twendee palee Mzee mpili wee eeh divadinyo wee eeh Haya decodisuzwa wee Eeh Oya wakizitaja timu zao wasiache kujitaja Yanga Yaani mkizitaja timu zenu msiache kuitaja Yanga Wanangu wakizitaja timu zao wasiache Kuitaja Yaani mkizitaja timu zenu msiache kuitaja Yanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out