Lyrics

Mpango ulikua ni kupaa mi nawe mtoto kila anga Eh A-city in the house Kujipanga hata kama mpenzi siku moja utakua janga Makini Bela Umeniwashia kibiriti mafuta kunimwagia Moyo hautmani mapenzi natoka machozi Kwa mawazo mi nakonda kweli Wapi nikuone ili nipone donda la moyo kutwa kucha naumia Ameondo(ka) ghafla tu Sikuoni tena mama Ona jua limezama Umepotea kama (kivuli) kivuli Roho yangu juu lini ntakuona tena Hujaacha hata ujumbe Kuna tatizo gani sielewi Niende wapi (ah oh mamaa) Ntampata wapi (pande zote mi sijamuona ye yee) Niende wapi (nimemtafuta mpaka kwa shoga zake ye yee) Ntampata wapi (kaskazini ama ye yeeh) Eh ma ma ma mbona umeniacha mi kwenye kiza Na na na mbona ulishanipa visa Ah ah ah sitaki kuamini uliigiza No no no mi na we hatukumaliza Mkataba ulikua ni kifo Si ni uliapa ulinipenda kuliko Na vile ulinipa ni ka ulitaka ujiko Si ndo nikajua mi nishapata jiko Mtoto mkali mtaani maujiko Sukari si sukari tena Tamu si ni tamu tena Ndoto si ni ndoto tena Ndoa si ni ndoa tena Sio ni juu ni chini tena Mamilo ni nini tena Serikali yetu wapi siri kali tena Zike nyota njema mbona zimepotea mapema Pete yangu hu tayari wapi kile chanda chema Si matani si kufuru wapi yule mke mwema Nakumbuja ulisema nami Hauwezi kuishi mbali nami Kapatwa na kitu gani Ah mamaa Alisema nami Hawezi kuishi mbali nami Ananipenda sana Niende wapi (aah oh mamaa) Ntampata wapi (pande zote mi sijamuona ye yee) Niende wapi (nimemtafuta mpak kwa mashoga zake ye ye yee) Ntampata wapi (ah kaskazini ama ye ye ye) Ah mama ye ye ye ye Nawaza kila siku sipati jibu Kama kuna kasoro ungenambia Naona kama ndoto Niliyompenda kaniacha mi solemba Ameondo(ka) ghafla tu Sikuoni tena mamaa Ona jua limezama Umepotea kama kivuli Roho yangu juu lini ntakuona tena Hujaacha hata ujumbe Kuna tatizo gani sielewi Niende wapi (ah oh mamaa) Ntampata wapi (pande zote mi sijamuona ye ye ye) Niende wapi (nimemtafuta mpaka kwa mashoka zake ye ye ye) Ntampata wapi (kaskazini ama ye ye ye)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out