Music Video

WANGECHI - ZILE ZILE
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Wangechi Waweru
Wangechi Waweru
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Wangechi Waweru
Wangechi Waweru
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Wangechi Waweru
Wangechi Waweru
Producer
KaxiOnTheBeat
KaxiOnTheBeat
Engineer
BCKGRND
BCKGRND
Producer

Lyrics

Na hii ni, zile zile Na hii ni, ah, zile zile Na hii ni, yeah, zile zile Mh na hii ni, yeah, zile zile Cheki, na hii ni, na hii ni zile zile ngwai mi huwai Hii ni zile zile peddy and hype Hii ni zile zile zinashika kwa umbali Na hi ni zile zile maban zitakubali Na hii ni zile zile ngwai mi huwai Hii ni zile zile peddy ana hype Hii ni zile zile zinashika kwa umbali Na hii ni zile maban zitakubali Yeah, hizi ni zile zenye hazikai kama zao Toka zamani si huzugushanga mazao Fanya mzing azime ajipate kwa zao Wananizoom wachunguze mzigo is how Ka si legit bruh kaa na biz Ndani ya zig bag cannabis Utaona mazigzag utani miss Makali mzinga zapa zii Zinaingia na giz mchana hatufanyi kaz Wanaulizia ngich zama wasipate chance Zaidi ya mzik zunguka fanya research Ilibidi nizidi walianza kucheza na cash Na hii ni zile zile ngwai mi huwai (yeah, yeah) Hii ni zile zile peddy ana hype (yeah, yeah) Hii ni zile zile zinashika kwa umbali (yeah, yeah) Na hii ni zile zile maban zitakubali (yeah) Na hii ni zile zile ngwai mi huwai (zile zile) Hii ni zile zile peddy ana hype (yeah, yeah) Hii ni zile zile zinashika kwa umbali (yeah, yeah) Na hii ni zile zile maban zitakubali (zile zile) Huwezi nipata zii Ntabaki kua your fantasy Toto ndogo nanikatia katia Kata tenje buda kata simu Funny nigga ushakua Churchill Huna heshima huna courtesy Hakuna kitu nimepata free Kila kitu nimepata fee Ni ngumu nisote nakinda zile ziko potent Hizi ndio zile hufanya Embarambamba ajitupe kwa matope Na usichoche, chunga usije kuwa content Tukirecord tupostate, hio roho mbaya itoke Zinaingia na giz mchana hatufanyi kaz Wanaulizia ngich zama wasipate chance Zaidi ya mzik zunguka fanya research Ilibidi nizidi walianza kucheza na cash Na hii ni zile zile ngwai mi huwai (yeah, yeah) Hii ni zile zile peddy ana hype (yeah, yeah) Hii ni zile zile zinashika kwa umbali (yeah, yeah) Na hii ni zile zile maban zitakubali (yeah) Na hii ni zile zile ngwai mi huwai (zile zile) Hii ni zile zile peddy ana hype (zile zile) Hii ni zile zile zinashika kwa umbali (zile zile) Na hii ni zile zile maban zitakubali (zile zile, yeah)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out