Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
ISSAI IBUNGU
ISSAI IBUNGU
Performer
COMPOSITION & LYRICS
ISSAI IBUNGU
ISSAI IBUNGU
Songwriter
Dar Es Salaam Jazz Band
Dar Es Salaam Jazz Band
Songwriter
Juwata Jazz Band
Juwata Jazz Band
Songwriter
Nguza Viking
Nguza Viking
Songwriter
Les Wanyika
Les Wanyika
Songwriter
Msondo Ngoma Music Band
Msondo Ngoma Music Band
Songwriter
Prof. Omari Shabani
Prof. Omari Shabani
Songwriter
Nuta Jazz Band
Nuta Jazz Band
Songwriter
Mass Media Band
Mass Media Band
Songwriter
Zahir Ally Zoro
Zahir Ally Zoro
Songwriter
Majirani Rajab
Majirani Rajab
Songwriter
Tabora Jazz Band
Tabora Jazz Band
Songwriter
Nyanyembe Jazz Band
Nyanyembe Jazz Band
Songwriter
Och Jabiso
Och Jabiso
Songwriter
Them Mushrooms
Them Mushrooms
Songwriter

Lyrics

Ndugu zangu mimi sina kazi, sasa mi' napata taabu Siku nyingi nimefanya bidii, ili niweze kupata kazi Kujitaidi ndio nimejitaidi, kazi ndio sipati Sasa nitafanya nini mie-oh, ntakufa?! Sasa nitafanya nini mie-oh, ntakufa?! Ndugu zangu mimi sina kazi, sasa mi' napata taabu Siku nyingi nimefanya bidii, ili niweze kupata kazi Kujitaidi ndio nimejitaidi, kazi ndio sipati Sasa nitafanya nini mie-oh, ntakufa?! Sasa nitafanya nini mie-oh, ntakufa?! Ndugu zangu wamenieleza, niende katika Kijiji cha ujamaa Nikajiunge na wenzangu nipate maitaji yangu, shida ziniondoke Na sasa naondoka (nakwenda zangu) Katika kijiji (cha ujamaa) Nimechoka sasa mwenzenu (na mambo ya mjini) Nakwenda (ndugu zangu wamenieleza niende katika kijiji cha ujamaa) Nakendwa (nikajiunge na wenzangu) (Nipate maitaji yangu, shida ziniondoke ndoke) Mwenzenu naondoka (nakwenda zangu) Katika kijiji (cha ujamaa) Nimechoka sasa jamani (na mambo ya mjini) Nakwenda (ndugu zangu wamenieleza niende katika kijiji cha ujamaa) Nakendwa (nikajiunge na wenzangu) (Nipate maitaji yangu, shida ziniondoke) Oah! Nakwenda Jamani Nitokwe na shida Nijiunge na wenzangu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out