Listen to Level Up (feat. Conboi Cannabino,Super) by luffa

Level Up (feat. Conboi Cannabino,Super)

luffa

Hip-Hop/Rap

1,241 Shazams

Lyrics

Time to Level Up Pray! Mungu ana bless up My tummy tatts got me feel pac my nigga Na nnachotema ujue ni facts my nigga I keep hood i don't fuck with alota niggas Nishapitia so much pain wala sijawahi to complain Let me explain jinsi ambavyo maisha yanakwenda Ukiyaanza ka sensei no retreat no surrender Tulipoianza walipenda na walitupa hadi advice Na mengi about this life ila sio kama walitupenda right Baada tuu ya mafanikio kidogo Wanaanza kuwa wabaya wanatupakazia uongo Wanafanya lolote ukose mchongo Lakini hakuna kitu inashindikana juu ya udongo We going harder akili pia iko smatter Niggas watch how i move i ain't lose kama sean carter I'm doing bigger i Got seven figure Kwenye plan So sitaki kelele na hawa mambwiga Alotta shits left me scars na sio mzaa Nilikotoka ujue ni mtiti i need to protect my heart Fuck you niggas tryna hate it's not okay Fuck the facebook i need my space Time to level Up Every Day we sin Yeah, Mwisho wa siku we pray Mungu Ana-bless Up Pray to god before we sleepin', nifike siku nyingine Time to level Up Every Day we sin Yeah Mwisho wa siku we pray Mungu Ana-bless Up Pray to god before we sleeping nifike siku nyingine Hii ni Mtu Be kama parklane Huku bino huku big boy and we got bars kama kilo I swear this shit is gonna sell (Yeah!) Ukileta vindo ni vishindo kuna Vlone kwenye beat bro I swear this is not fugazy (Yeah) We tell the truth Ain't no fairytales Ka' nikiwa mtaani vitani its not a place to play Hakikisha umeaga nyumbani before you come out here Niko kitaani mwanangu saa mbovu yuko pia Na pia hatuna fear Ka unajijua we ni hater unakanyagiwa I keep my circle too small you don't belong here Na wananiita mdanta because i was born here And i been swimming with the Sharks Nikiibuka ni hatari Usijifanye unanijua kama hunijui kiundani Nishapitia Maisha Namjua shetani ni nani na snitch ni nani Snitch sio Tekashi ni flani Am rolling exotic Kama hujanijua kaa mbali Na usidiss kidigitali my nigga Tukutane mtaani I swear Kama Mbwai ni mbwai Ninaemhofia ni Mungu tu na wala sio kiumbe hai Tumekutana Skani eti unauliza mkubwa ni nani Alafu nishafanya vitu vikubwa ata mwenyewe hufanyi Mwisho wa siku uje kuchapika mjuba Epusha tu shali Na hii fani kwetu ni kazi si' hatutaki utani Tunachojua ni kukaza hatusubiri zali U Dig Time to level Up Every Day we sin Yeah Mwisho wa siku we pray Mungu Ana-bless Up Pray to god before we sleeping nifike siku nyingine Time to level Up Every Day we sin Yeah Mwisho wa siku we pray Mungu Ana-bless Up Pray to god before we sleeping nifike siku nyingine
Writer(s): Rashid Said Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out