Lyrics

Mungu wa Huruma Utuhurumie Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama Mungu wa Huruma Utuhurumie Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama Toka Mbinguni, Bwana alipochungulia mwanadamu Aone kama ni mtu mwenye akili Amtafutaye Mungu Wote wamepotoka Wote wameoza Hakuna atendaye mema ata mmoja Mungu Wapendwa tukikosana Tuonane kwa upendo Wakubwa kwa wadogo Viongozi kwa viongozi Watumishii Mungu wa Huruma Utuhurumie Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama Mungu wa Huruma Utuhurumie Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama Dunia imeharibika sana Uovu mwingi kila mahali Kama si neema yako, nani angesimama Mungu wa Huruma Utuhurumie Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama Mungu wa Huruma Utuhurumie Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama Mwanadamu anaogopwa sanakuliko mnyama mkali Kuaminiana hakupo tena, ndugu kusalitiana Imani imetoeka misingi imeharibika Neno lako inasema Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu Watajinyenyekesha na kuomba Na kutafuta uso Na kuliacha njia zao mbaya Ntasikia toka mbinguni Na kuwasemeha dhambi zao Na kuponya nchi yako Mungu wa Huruma Utuhurumie Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama Mungu wa Huruma Utuhurumie Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama Mungu wa Huruma Utuhurumie Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out