Lyrics

Unatawala yahwe, usifiwe, ndio maana, unatawala Yahweh, Halleluya Tena uinuliwe, Baba, usifiwe, Hakuna kama wewe, uinuliwe Yahweh, halleluya Ninakupenda baba, usifiwe, ninakupenda Baba, halleluya Kipenzi changu Yahweh, usifiwe, sitakuacha Pekee Kipenzi changu baba, halleluya Tembea nami yahwe, usifiwe, ninakuabudu baba, Tembea nami yahwe, halleluya Eeh baba shuke hapa Sasa, usifiwe, Shekinah glory shuke hapa sasa, halleluya (Prayer) Asante baba, wewe ni mwaminifu Jehovah Tunakuabudu wewe tawala maisha yetu Jehovah Kanisa inangoja taifa inakuabudu Wewe tungoze jehoooo... Jehovah Uhimidiwe bwana, usifiwe, hakuna kama wewe, uhimidiwe bwana, halleluya Tena Ubarikiwe bwana, usifiwe Jehovah wangu, ubarikiwe yahwe, halleluya Tena Uinuliwe Yahweh, usifiwe Jehovah mungu, unitawale bwana, halleluya Eeh baba Uinuliwe mguuzi mungu, Usifiwe, eeh Jehovah, Uinuliwe Yahweh, halleluya Eeh baba Uinuliwe yahwe, usifiwe, (Eeh baba) uinuliwe Yahweh Baba utujaze tena usifiwe eeh baba Utulinde baba, halleluya (Prayer) Eeh baba tumishi wako waja mbele zako wewe Unanichunguza na wanadamu Unanichunguza na ukaniokoa Mimi Tusamehe Dhambi na makosa Utulinde na waovu Na waoletu uminifu na taifa letu naomba unibariki familia yetu Na taifa letu watumishi wako wanakufuta nakupenda sitakuacha ewe baba Roho Mtakatifu, unijaze nangoja, roho Mtakatifu unijaze kabisa Roho wa bwana unijaze kabisa roho wa bwana unijaze kabisa Roho wa maombi, unijaze niombe, roho wa ushindi unijaze niishi Roho wa bwana unijaze kabisa roho wa bwana unijaze kabisa Roho wa maombi shuka Sasa niombe roho wa neema nisaidie niombe Roho wa bwana (siwezi bila wewe) unijaze kabisa (Siwezi baba) roho wa bwana (nisaidie) unijaze kabisa (Nanyeynekea baba) Roho wa bwana (niweseshea baba) Unijaze kabisa (unitakase) roho wa bwana unijaze kabisa Roho wa bwana unijaze kabisa roho wa bwana unijaze kabisa Unijaze mpya baba, unijaze mpya Unishukie Yahweh, unishukie Niumbie mpya Yahweh, niumbie mpya Nikupendeze baba nikupendeze Usinwache baba usiniache Ukae nami mwokozi ukae nami Milele yote baba milele yote (Prayer) Inua mkono yako mwabudu Jehovah niinue Jina lako tunakuabudu bwana
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out