Lyrics

Duniaaaaa... Dunia haina huruma Dunia haina huruma Dunia haina fadhila Dunia haina utu-u Na maisha yangu Dunia haina huruma mwenzenu nasema Ni asubuhi na mapema Simu ya mkononi inaita Naitazama kwa makini Ni namba ya mume wangu Sauti ya mwanamke inasikika Inayorarua moyo wangu Moyo wangu unafura hasira Kwa taarifa ninazopata 'Hallo, nenda mwimbini kachukue mzoga wako' Namwuliza ni nani mwenzangu Ananijubu kwa kejeli 'Mimi ni mke mwenzio kama hutaki potezea' Nawatafuta ndugu na jamaa Waliokuwa kwenye simu yangu Ili niwaambie taarifa hizi Zinazorarua moyo wangu Dunia haina huruma eeh Ninafika hospitali Ninawakuta watu wa mochwari Maneno wanayoniambia Yanaumiza moyo wangu 'Aah Yule mgonjwa aliyeletwa jana aliyepigwa kwenye fumanizi Tulipomwangalia tukangundua hajafa kwa hivyo yuko katika chumba cha watu maututi' Ninafika kwenye chumba cha wagonjwa maututi Ninamkuta mpenzi wa roho yangu Amepoteza fahamu, hawezi hata nikunitazama Hili ndilo patano letu mume wangu Na hapa ndipo jijini Mbea mume wangu Hili ndilo patano letu mume wangu The World There is no mercy in the world There is no mercy in the world The world has no aid The world is insensitive With my life There's no mercy in the world I tell you Tis early in the morning The mobile phone rings On careful look It's my husband number A woman voice speaking Proudly tearing my heart My heart bulges with anger For the news I have received 'Hello, go pick your carcass' I ask who are you? She responds with pride I am your co-wife, if you don't want to hear this go away I look for family and relatives Over through the phone contacts To break these news to them Which have broken my heart The world has no mercy eeh Arriving at the hospital I find the mortuary attendants The words they say to me So hurts my heart 'Aah the patient brought in yeaterday after a caught-up in adultery We realized that he isn't dead So he is in the ICU I rush to reach the ICU ward I find him the love of my life He is unconscious, even unable to look at me Is this our covenant my husband And is this our home town Mbea Is this our covenant my husband Na hapa ndipo jijini Mbea mpenzi wangu Haya mapanga ndio zawadi yangu mume wangu. Hili ndilo patano letu mume wangu Na hapa ndipo jijini Mbeya mpenzi wangu Nimegundua dunia haina huruma eh Dunia haina huruma Dunia haina huruma Dunia haina fadhila Wanadamu nisaidie Nani mwenye huruma anifariji Maana moyo wangu unavunja damu Maana moyo wangu unavunja damu Kwa matatizo niliyopata Dunia haina huruma Dunia haina uchungu Mimi na maisha yangu Ninawapigia ndugu wa mume wangu Yaliyomsibu mume wangu Wote wananisusia Nachukua vitabu vya benki ATM hasisome sote Ninamwomba daktari Daktari naomba nisaidie Mume wangu akipona Gharama sote tutalipata Na kama la hajapona Utachukua gari langu Kwa kweli mama ningeweza kukusaidia Lakini hizo gari haina ya 4B... Kwa kawaida zinakula sana mafuta' Nawatafuta marifiki wa mume wangu Na kwanza ninapofika hapo Wanaanza kunipa masharti Yanayorarua moyo wangu Nikimtazama mume wangu ndio kwanza anakoroma Nikimtazama daktari hawezi hata kunitazama Dunia haina huruma eeeh Dunia haina huruma ooh Mashemeji wamegoma kutoa misaada And is this our home town Mbea my love This machete wounds are my gift oh my husband! Is this our covenant my husband And is this our home city Mbea my love I realize there is no mercy in the world There is no mercy in the world There is no mercy in the world There world has no aid Oh peoples help me Who is compansionate to console me For my heart is bleeding For my heart is bleeding Under the tragedy on me There is no mercy in the world The world feels no pain Over my life I call my husband's brothers To give aid of this trouble upon him But they all decline Taking my bank statements ATM card reflects no balance I beg the doctor For him to help me For when my husband's recovers All expenses we shall pay And incase if he doesn't recover You will redeem my car 'Surely I could help you But those type of cars normally consume lots of fuel' I call the friends to my husband On their arrival (at ICU) Immediately they set their terms for help This just tears down my heart Looking at my husband he begins to moan consciously Looking at the doctor but he turns away The world has no mercy eeh The world has no mercy ooh In-laws have declined their help Maneno wanayoniambia Sahamani shemeji, ningeweza kukusaidia, Lakini naenda kuangalia mpira Ulaya Nawatafuta mawifi kwa mara nyingine Kwa kweli wifi si unajua Tungeweza kukusaidia, lakini wale wenzangu wote wacheza shengele watakuja siku ya Jumamosi, kwa hivyo nimewaambi na siwezi kughairi kwa sababu wameshona sare Niliamua kumwangukia daktari Hicho ndicho chanzo cha tatizo langu Ndio siku niliyopata huyu mtoto. Msiba wangu ukaongezeka Dunia haina huruma Dunia haina uchungu Mimi na maisha yangu Leo nataka kutengeneza na Mungu Nimechoka kudanganya moyo wangu Nataka kutengeneza na Mungu Lazima kutengeneza na Mungu Nikimwambia mume anaweza kuniua Ila moyo wangu unanishuhudia ni lazima nimwambie Maana nataka kuteneneza na Mungu Mimi lazima nitengeneneza na Mungu Nimeamua kuteneneza na Mungu Nataka nitengeneneza na Mungu Mume wangu ile siku ulipocharazwa mapanga Yule daktari aliyekuwaanakuuguza ndiye mwenye huyu mtoto Mume wangu alinitazama tu Akaondoka mbele yangu Asubuhi na mapema nikaitwa kijijini Wakinisisitiza kwa hasira 'Kuja na motto wako akiwa hai' Nilipofika kijijini nikawakuta mawifi zangu Kila niliyemsalaimia hakuweza kunijibia Mashemeji walionipenda, nao pia nilifanya hivyo hivyo They give their excuse as 'We're sorry we could have assisted But have to watch live football in Europe I look up to my sisters- in -law Honestly my in- law, you clearly know We could help you but All my team players They are coming this Saturday so I cannot changed the day have fixed For they have their uniform ready I resolved to give in to the doctor And that was the genesis of trouble It was the day I conceived this child My misery multiplied The world has no mercy The world feels no pain It's me and my life Today I resolve to reconcile with God Am tired of deceiving my heart I want to reconcile with God I must make up with God If I confess to my husband, he may kill me But my heart is convinced I have to confess to him For I want to reconcile with God I have to be reconciled to God I am determined to be with God I want to be reconciled to God 'My husband, the day you bore machete wounds The doctor who attended to you is the father of this child' My husband just stared at me And walked away from me Next day early morning I was summoned to the village, with a stern command 'Come with your child alive!' Arriving at the village there my sisters-in-law For every greeting no-one responded Even the in-laws in the same manner, didn't respond to my greetings Kila aliyenitazama, alinitazama kwa dharau Huruma yangu iko wapi dunia Huruma yangu iko wapi dunia Kikao cha familia kilipokaa Niliowaomba msaada ndio walionihukumu Dunia haina huruma 'Kama unataka kukaa na mtoto wetu Mtoto wako lazima auwawe maana sisi hatumtambui mtoto haramu katika familia yetu Nikamtazama mtoto wangu aliyesismamishwa mbele yangu Nikangeuka pembeni yangu, nikamwona mume mume wangu, ananitazama kwa hasira Hasiweze kunihurumia Huruma yangu iko wapi dunia Faraja yangu iko wapi dunia Kimbilio langu nikimbilie wapi dunia Dunia haina huruma Dunia haina fadhila Ulimwengu nisaidie Ulimwengu nihurumie Nilipoendelea kuomba msamahaaa Wifi mkubwa alinyanyuka 'Unatuletea usanii hapa Fanyia kaka yetu huko huko Sisi ni watoto wa mjini bwana hatutishwi machozi Sasa huo upumbavu wako usituletee mbele ya kikao.' Mtoto wangu aliwekwa katikati yao Ili achapwe mapanga mbele yangu Baba mmoja mwenye busara Akasema ni nani kati yetu Mabaye Hajwahi kutenda kosa awe wakwanza kupiga mapanga Wote wakatazama Hakuna aliyeniangalia Looking at me everyone showed mockery I wonder where is my compassion I wonder where is my compassion When the family meeting began To whom I begged for help, the same people now condemned me There is no mercy in the world 'If you want to stay married to our son Your child must be killed For we don't accept an illegitimate child in our family' I looked at my child Who had been put before me Then I turned to look at my husband at the corner, looking at me in anger, without any compassion in heart Where is my compassion oh peoples Where is my consolation oh peoples Where is my refuge oh peoples There is no mercy in the world The world has no aid Oh peoples help me Oh peoples have mercy on me As I pressed on pleas for forgiveness My eldest sister–in–law showed up 'Now you bring comedy show to us Do this to our brother away from us We are the strong of the city, we have no weakness of shedding a tear Now such foolishness is not for this family meeting My child was put in their midst Before me to be slashed with machetes One wise elder arose Saying, 'whose of you does no sin or mistake Be the first to strike' All in the meeting looked at each other None dared to look at me Mume wangu akasimama na kuanza kulia kwa uchungu Kuanzia leo hii, unisamehe mke wangu, Kuanzia leo hii, ni nakupenda mke wangu Ya dunia yamenichosha Ya ulimewngu yamenichosha Kuanzia leo hii, ninatubu mke wangu, Kuanzia leo hii, unisamehe mke wangu, Nataka kutengeneza na Mungu Nataka kutengeneza na Mungu Kumbe Mungu anaweza kusamehe Kumbe Mungu anaweza kukuita tena Kumbe Mungu anawezakujibu maomba Ndilo nililojifunza leo. Yesu wangu ana jibu Tena yeye anasikia Pia tuombe bila kukoma Nataka kutengeneza na Mungu Lazima kutengeneza na Mungu Nataka kutengeneza na Mungu Lazima kutengeneza na Mungu (MWISHO) My husband arose accompanied by bitter weeping 'From today, forgive me my wife From this day, I love you my wife I am tired of worldly affairs I am tired of worldly affairs From this day I repent my wife From today forgive me my wife I want to reconcile with God I want to reconcile with God' Alas God can forgive! Alas God can give second chance Alas God can answer prayers These I have learned today My Jesus has the answer And again Jesus hears Lets then pray without ceasing I want to reconcile with God I have to be reconciled to God I want to reconcile with God I have to be reconciled to God
Writer(s): Bahati Bukuku Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out