Lyrics

Utanitambuaje kama nimeokoka? Utanitambuaje kama namweshimu Mungu? Nasema, utajuaje kama tuko pamoja Katika safari ndefu ya kwenda mbiguni eeh? Utanitambuaje ndugu yangu nakuuliza niambie aiyee! Huwezi kunitambua kama nimeokoka, kwa kunitazama sura yangu Huwezi kunitambua kama nimeokoka kwa kunitazama maumbile yangu Bwana asifiwe isiwe sababu kukufanya uamini kuwa nimeokoka Ndo mali yangu naweza kutamka Bwana asifiwe kumbe sijaokoka Utanitambuaje Kama nimeokoka niambie aiyee! Ukitaka kutambua kama nimeokoka Hakuna haja ya kupata shida Ukitaka kutambua kama nimeokoka Hakuna haja ya kuumiza kichwa Bwana wetu Yesu alishasema Utawatambua kwa matendo Bwana wetu Yesu alishasema Utawatambua kwa matendo Matendo Tazama matendo yangu Matendo yangu Tazama matendo utanitambua eeh! Matendo (Matendo) Tazama matendo Hallelujah Matendo yangu Eeeh! Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje Usinitazame Sura tazama matendo Matendo (Matendo yangu) Tazama matendo Hallelujah Matendo yangu Ooh! Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje Usinitazame umbile tazama matendo Matendo (Matendo yangu) Tazama matendo Hallelujah Matendo yangu Weeh! Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje Hata kama nimebatizwa tazama matendo Matendo (Matendo yangu) Tazama matendo Hallelujah Matendo yangu Ooh! Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje Mtume Petro aliulizwa Wewe ni mwanafunzi wa Yesu Mtume Petro kwa kuogopa wayahudi akakataa kasema mimi simjui Yesu Wakamwambia mbona hata kusema kwako Kunaonyesha wewe mwanafunzi wa Yesu Mtume Petro akaamua kuondoka Hata hivyo wakamtambua mwendo wake Wakamwambia mbona hata kutembea Kwako Petro Kunaonyesha wewe mwanafunzi wa Yesu Kuongea na kutembea kwake Petro Kulionyesha kuwa mwanafunzi wa Yesu Matendo yangu Matendo Matendo tazameni matendo yangu Utanitambua eeh Matendo (Matendo) Tazama matendo Hallelujah Matendo yangu Eeeh! Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje Usinitazame Sura tazama matendo Matendo (Matendo yangu) Tazama matendo Hallelujah Matendo yangu Ooh! Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje Usinitazame umbile tazama matendo Matendo (Matendo yangu) Tazama matendo Hallelujah Matendo yangu Weeh! Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje Hata kama nimebatizwa tazama matendo Matendo (Matendo yangu) Tazama matendo Hallelujah Matendo yangu Ooh! Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje Ukitaka kutambua kama nimeokoka Usitazame jinsi ninavojisifia Naweza kujisifu mimi ni mpole sana Lakini matendo yangu yakakataa Naweza kujisifu mimi nawajali sana yatima Lakini matendo yangu yakakataa Naweza kujisifu mimi nawajali sana wajane Lakini matendo yangu yakakataa Matendo Tazama matendo yangu Matendo Kama kweli ninamcha Mungu utanitambua eeh! Matendo (Matendo) Tazama matendo Hallelujah Matendo yangu Eeeh! Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje Usinitazame Sura tazama matendo Matendo (Matendo yangu) Tazama matendo Hallelujah Matendo yangu Ooh! Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje Usinitazame umbile tazama matendo Matendo (Matendo yangu) Tazama matendo Hallelujah Matendo yangu Weeh! Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje Hata kama nimebatizwa tazama matendo Matendo (Matendo yangu) Tazama matendo Hallelujah Matendo yangu Ooh! Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out