Lyrics

Lazima huu mwaka niwashangaze ee yeah ee yeah ee Lazima huu mwaka niwashangaze lazima nipate ee yeah ee Huu mwaka lazima nipate ee yeah ee huu mwaka lazima nipate Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate Wanasema masikini ni mtumishi wa tajiri Miaka iliyopita maisha yangu kajawa na giza totoro Nimetamani maisha mazuri kutoka utotoni Nyumba nzuri, gari nzuri, kazi nzuri, bibi na familia Lazima huu mwaka niwashangaze ee yeah ee yeah ee Siku zasonga miaka inapita na bado niko palepale (Siku zasonga miaka inapita) Huu mwaka lazima nipate Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate Kama simba nimeamua liwe liwalo sili nyasi iwe mvua, iwe jua simba hali nyasi Penye nia pana njia haijalishi kule nimetoka nisha amua ninachotaka ee nami lazima nipate Nipe uzima nipe uhai mola huu mwaka nipate nimeamua sifi moyo mola lazima nipate Nipe uzima nipe uhai mola huu mwaka nipate nimeamua sifi moyo mola lazima nipate Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate Nipate, Nipate huu mwaka lazima nami nipate Nipate, nipate huu mwaka lazima nami nipate Nipate, nipate huu mwaka lazima nami nipate Nipate, nipate huu mwaka lazima nami nipate Kazi nzuri nipate, huu mwaka lazima nami nipate Nyumba nzuri nipate, huu mwaka lazima nami nipate Bibi mzuri nipate, huu mwaka lazima nami nipate Niwe sonko kama sonko huu mwaka lazima nipate Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out