Music Video

Nipo Kwa Ajili Yako
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Stara Thomas
Stara Thomas
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Stara Thomas
Stara Thomas
Songwriter

Lyrics

Wengi nimewaona ila moyo watakapo tu kutulia Kwa dhati ninanena ukweli, ninasema ah kutoka moyoni Nipo kwa ajili yako wewe, ata kama uende mbali oh Sito linadi pendo lako ivyo ndivyo nilivyo bwana weh Hata kama waseme sana (nipo kwa ajili yako weh) Hata kama wanune sana (nipo kwa ajili yako weh) Hata kama wasuse sana (nipo kwa ajili yako weh) (Nipo kwa ajili yako weh) Fahari ninapata uwapo karibu yangu oh, kila wakati Siku hadi siku wazidi kutulia moyoni mwangu Shaka sikutilii wewe kwani jibu nimeshapata yoh Nafsi imekubali nayo kipingamizi hakuna tena yoh Hata kama waseme sana (nipo kwa ajili yako weh) Hata kama wanune sana (nipo kwa ajili yako weh) Hata kama wasuse sana (nipo kwa ajili yako weh) (Nipo kwa ajili yako weh) Hata kama waseme sana (nipo kwa ajili yako weh) Hata kama wanune sana (nipo kwa ajili yako weh) Hata kama wasuse sana (nipo kwa ajili yako weh) (Nipo kwa ajili yako weh) Hata kama waseme sana (nipo kwa ajili yako weh) Hata kama wanune sana (nipo kwa ajili yako weh) Hata kama wasuse sana (nipo kwa ajili yako weh) (Nipo kwa ajili yako weh)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out