Lyrics

Nawauliza ninyi sasa mnaojikweza Hivi kweli mnajua ni nini mwisho wa maisha yenu? Mmekula, mnakunya lakini mbona hamfikirii? Majigambo na dharau ni ubatili mtupu Nawauliza ninyi sasa mnaojikweza Hivi kweli mnajua ni nini mwisho wa maisha yenu? Mnakula, mnakunya lakini mbona hamfikirii? Majigambo na dharau ni ubatili mtupu Mwawadharau masikini wasiojiweza Neno lake Bwana Mungu ni upuuzi kwenu Mwawadharau Wahubiri wanapohubiri Injili yake Bwana Mungu ni upuuzi kwenu Eti Mwanjindanganya mwasema "ponda mali, kufa kwaja Mmebobea kwenye dhambi kama wapumbavu vipofu msioijua njia Mnayoiendea ... Sasa geukeni Poleni kwenu sasa kwa kuwa mmehubiriwa (Furaha) Furaha mliyo nayo itageuka msiba kwenu (Chakula) Chakula cha anasa kitageuka mwamba wenu (Tekezeni) tekezeni kwa matajiri mwajipata mwalipwa pesa zenu (Poleni) poleni kwenu sasa kwa kuwa mmehubiriwa (Furaha) Furaha mliyo nayo itageuka msiba wenu (Chakula) Chakula cha anasa kitageuka mwamba wenu (Tekezeni) tekezeni kwa matajiri mwajipata mwalipwa pesa zenu (Visambutu)visambu kwa wake zenu wa mashabiki jinsi tabia Eh-h-h-h-h Walikuwepo matajari kama wewe (wametoweka) Ni wazuri sana (ili sasa) lakini wako wapi sasa (hawako tena) Walikuwepo una wasomi kama wewe (wametoweka) Ni wazuri sana (ili sasa) lakini wako wapi sasa (hawako tena) Walikuwepo na warembo kama wewe (wametoweka) Ni wazuri sana (ili sasa) lakini wako wapi sasa (hawako tena) Walikuwepo kwa waimbaji kama mimi Rose (wametoweka) Ni wazuri sana (ila sasa) lakini wako wapi leo? (hawako tena) Lakini Yesu kwa huruma anakubembeleza Yesu eh Yesu yuko msalabani alisema njooni kwangu (Nita wasamehe) nita wasamehe dhambi (Nita beba) nita beba mizigo yenu (Ogopa) ogopa kitimutimu (Siku ile) siku ya kunya kuliwa (Yesu yuko) Yesu yuko msalabani (ma ma ma) Anasema njooni kwangu (Nitawasamehe) nitawasamehe dhambi (Nitabeba) nitabeba mizigo yenu (Ogopa) ogopa kitimutimu (Siku ile) siku yakunyakuliwa Kasheeshe kwa watakaobaki kwenye viti kuu Dunia hii isikudanganye maman, ah (uelewe) Anasa zote za dunia(ndugu yangu) ni za muda (halleluyah) Muamini Yesu Bwana wangu akuokoe (uelewe) Yeye ni Bwana (ndugu yangu) tena mueza wa yote (halleluhya) Dunia hii isikudanganye Baba (uelewe) Anasa za dunia zote (ndugu yangu) zinapitaga (halleluyah) Muamini Yesu Bwana wangu akusamahe (uelewe) Yeye ni Bwana (ndugu yangu) tena mueza wa yote (halleluhya) Tazama Yesu kwa huruma anakubembeleza Yesu eh Yesu yupo msalabani (ma ma ma) Anasema njooni kwangu (Nitawasamehe) nitawasamehe dhambi (Nitabeba) nitabeba mizigo yenu (Ogopa) ogopa kitimutimu (Siku ile) siku yakunyakuliwa (Yesu yupo) Yesu yupo msalabani (ma ma ma) Anasema njooni kwangu (Nitawasamehe) nitawasamehe dhambi (Nitabeba) nitabeba mizigo yenu (Ogopa) ogopa kitimutimu (Siku ile) siku yakunyakuliwa Kasheeshe kwa watakaobaki kwenye viti kuu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out