Lyrics

Mambo yanayo tendeka huyo (Aambiwe huyo) Sio mambo ya kucheka (Aambiwe huyo) Kwa kweli inaniuma (Aambiwe huyo) Kwani mi namwonea huruma (Aambiwe huyo) Unyama anayomfanyia huyo (Aambiwe huyo) Mali yake yaibiwa (Aambiwe huyo) Ata wamemgeuza jina (Aambiwe huyo) Wanamwita babu jinga (Aambiwe huyo) Babu jinga una Mali unashindwa kutumia Maali yataka akili wakati wakutumia Babu jinga una Mali unashindwa kutumia Maali yataka akili wakati wakutumia Gari lako la thamani watu wamelipangia Gari la watu wawili Iwe je wapande mia? Gari lako la thamani watu wamelipangia Gari la watu wawili Iwe je wapande mia? Tairi zake za nyuma wamezitoboa Walipeleka kwa fundi, akalichakachua Tairi zake za nyuma wamezitoboa Walipeleka kwa fundi, akalichakachua Una tamba Una tamba Una tamba Tena wajiona mwamba Wewe mwamba Wewe mwamba Kumbe watu wanaramba Wanaramba Wanaramba Wanakuona mshamba Mshamba Mshamba Mambo yanayo tendeka huyo (Aambiwe huyo) Sio mambo ya kucheka (Aambiwe huyo) Kwa kweli inaniuma (Aambiwe huyo) Kwani mi namwonea huruma (Aambiwe huyo) Unyama anayomfanyia huyo (Aambiwe huyo) Mali yake yaibiwa (Aambiwe huyo) Ata wamemgeuza jina (Aambiwe huyo) Wanamwita babu jinga (Aambiwe huyo) Fedhekha imeingia aibu na kashfa pia Mambo yanotokea sio vizuri kuyamezea Fedhekha imeingia aibu na kashfa pia Mambo yanotokea sio vizuri kuyamezea Na matusi kutamkiwa Una tamba Una tamba Una tamba Tena wajiona mwamba Wewe mwamba Wewe mwamba Kumbe watu wanaramba Wanaramba Wanaramba Wanakuona mshamba Mshamba Mshamba Mambo yanayo tendeka huyo (Aambiwe huyo) Sio mambo ya kucheka (Aambiwe huyo) Kwa kweli inaniuma (Aambiwe huyo) Kwani mi namwonea huruma (Aambiwe huyo) Unyama anayomfanyia huyo (Aambiwe huyo) Mali yake yaibiwa (Aambiwe huyo) Ata wamemgeuza jina (Aambiwe huyo) Wanamwita babu jinga (Aambiwe huyo)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out