Lyrics

Yooo, Unajua Wasee Wamekua Waki Take My Kindness For Weakness Sana, Buda, Hamnijui Niccaaa!! Wanasema Niko Juu. Kaa Kamba Ya Kujinyonga, Chokosh Na Glue, Kwa Hizi Streets Mi Kinyonga, Mi Ndio Referee Bado, Utanipata Kwa Mechi, Chocha Kaa Adebayor, Na Footworks Za Messi, Hizo Lips Zenyu, Sijui 1.2.3 Vigetti, Oya Pulse Nili,... Wekeni Pia Hiyo Kwa Gazeti, Mna Ma Punchlines? Mi Nina Ma Tower Lines, Ma Mili Lines, Ndani Y KQ, KLM Tufike Safe Na Mololine, Tuko Na Promoter Huku, Tunakungoja U Curtain Raise, Mr. Tall, Dark, Chocolate, Madem Nawa Ramen Raise, Elimu Nusu, Sawa Bure, Wasanii Enda Shule, Old Boy, Na Buy Sahani, Ndio Nyi Mkule, Msijali, Kuna Wasanii Wako Tu Hivo, Hata Wapewe Tender Wachukue One Wabaki Zero, "Huyu Rabbit Si Wa Hip Hop, Niliona Akidance Kwa Video Na Suti" Meanwhile Niko Na C.E.O's Na Sign Contract Na Suti, Endeleeni Kubonga, Talk Is Cheap, Bei Ilipanda Juzi, Na Make Ma Brown, Carbon Tea, Mnakula Greens Na Ma Mbuzi, Nilianzanga Zamaaaani, Kaa Album Ya Ice Prince, Madem Wanani Tamaani, Sorry Nyi Ni Expense, When It Comes To My Money, Niko Na Experience, So, Moi Alichoma Ivory, Uhunye Drugs Kwa Ocean, Obako Alichoma Picha, Mi Nachoma Musicians, Hawa Ma Newcomers Wanaona Ni Right Wanitaje, Mimi We Pata Ma Retweets, Ndio Ngoma Itambe, Nitajeni, Ntawapea Ujuzi, Hata Mi Ningejitaja, Wanaskia Napewa Deals, Wanaanza Kukaza Rasa, Hamkuskia Na Fahreed, Mafi Itaganda, Saa Zile Mnaandika Kwa Choo Za Kanjo Ati, "Nani Was Here" Unless Wamepaka Rangi, Nitafuteni Kamiti Na Indu, Career Zao Ziko On Hold, Kaa Mshuto Ya Meeting, Nawaiba Roho, Version Ya John Kiriamiti, Hatushindani, Na Kama Mnataka Tushinde Pia Nitashinda, I Mean, Mi Hushinda Kwa Billboard, Kwa Bank Na T.V, Una Ngoma Moja Mdundo? Update Your C.V, Na Hauwezi Iitwa King, Hata U Buy My Kiti, Inaitwa Basics Za Business, Napanga Rappers Kwa Hitlist, Na Bado Mnaendelea Kutake My Kindness For Weakness, Mkiniona In Public Kama Ngotha Mjifiche, Unless Ukuwe My Low Cut, Nawapa Ma Uppercur, Bado Na Stay Fresh, Kaa Nyanya Ngware Soko, Hauna Kiswahili, Labda Ulipe Poko, Na Ngoma Za Kenya, Huku Mjini, Haziskizwi, Mna Video Mbaya, Mna Share, Nione Teaser, Buda, Mi Huongeanga Na Ghost Ya E-Sir, Mi M-Straight Sio Homo, Unless Ni Female Emcees, Quick Recovery Tio My Girl Wangechi, Nili Coachiwa Na Bobby Ogolla, Who Else, Mourinho, Hizo Mvua Ngoma Mnatoa, Haziezi Itwa El-Nino, Mungu Anisamehe Kwa Vile Mi Ni Kichwa Ngumu, Naomba Watoi Wangu, Wasikuwe Watundu, Na Beba Deed, Flag, Torch Na Map Ya Eastlando, Kupendwa Hadi Bongo, Kaa Mtoto Wa Dando, Walenje Kaa Kinde Zimesundwa Kwa Koti, Addicted To Doe, Supper Ni Ugali Na Noti, Mindstate Ya Chandaria, Na Ndai Ya Bill Gates, Niko Na Ma Fan Wanaeza Lipa Six Times Kwa Gate, Boss Tumia Akili, Wachana Na Ndom, Nawastop Kuwaendelea, Kanjo Yetu Iko Ndogo, Big Up To Mrs. Mburu, Easich, Chillin Layer, K-South, K-Shaka, Klepto, Endelea, Kabla Nikuje Kwa Hizi T.V, Radio Zenyu, Nilikula Ndula, Nani Ananilinda, Oh! Papa Shirandula, Na Ndot Niko Nazo, Ziu Extend Hadi Mchana, Bila Upepo, Ngoma Zina Spread Kaa Mtama, Nawapa K.O Ya Mwisho Kaa Robert Wangila, Endeni Mni Report Kaa Robert Nagila, Unadhani Tuko On the Same Boat, Niko Na Life Jacket, Na Ninalipa Tax Boss, Hauko Kwa My Bracket, Big Up Kwa Ma Pirates, Kwa Ku Spread My Song, Siku Hizi Top Artistes Niko Ndani Kaa Thong, Oya, B.A King Kaka Niko Be Eh! Leo Proffesor Jay, Kesho Collabo Sarkodie Eh, Schedule Yangu Tight Uliza, My P.A, Mistari Niko Nazo, Top Striker E.A, U.G Pale Capital, Rwanda T.Z, Wacha Hata Niachie Hapo, Oya, Kizee, So Next Time, Mkiamua Kubonga Matope, M Make Sure Kunanyesha, Au Nyi Wenyewe Mnanyesha, Ntawa Handle Vitofauti, Na Sii Hapa Kwa Pacho, Ama Kwa Mike, Na Usituma Whatsapp, Si Unajua Tuko Wapi, Na Tuko Tuu Pacho Kwani Boss, Iko Nini?
Writer(s): Kennedy Otieno Ombima Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out